Nimepita katika mitaa ya karibu na ndugu zangu, nilichokiona kilinipa masikitiko, kuna baadhi ya majengo la Skuli ya Msingi Mchangamdogo iliyopo Wilaya wa Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba sio salama kwa matumizi.
Wazazi pamoja na Walimu wa skuli hiyo wamekuwa wakilalamikia juu ubovu wa madarasa ya kusomea ambayo yamekuwa mabovu kutokana na uchakavu.
Hali hiyo imesababisha Walimu wanashindwa kufundisha hususan kipindi cha mvua kwa kuhofia kuangukiwa na mabanda hayo.
Serikali isaidie na ifanye jambo basi, maana hali yenyewe hiyo ni ya hatari.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.