Majengo zaidi ya 100 ya kihistoria na ya kale yamebomolewa na Israel. Ni msiba mkubwa kwa dunia

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Jumla ya majengo yanayozidi 100 yamebomolewa katika eneo la Gaza. Mojawapo lina umri wa zaidi ya miaka 1500 kabla Mtume Muhammad s.a.w hajazaliwa.

Imeelezwa ubomoaji huo umepoteza historia muhimu kwa wapalestina na dunia yote kwa jumla.

Kwa mujibu wa wasimamizi na wanahistoria wa kipalestina majengo hayo yote yameorodheshwa na UNESCO kama ni urithi wa dunia na yamechorwa na kuwekewa alama maalum kuyatambulisha yalipo.Kwa hali hiyo kupigwa na kubomolewa kwake ni kitendo cha makusudi kinachofanywa na Israel.

Wanahistoria hao wamesema uhalifu wa namna hiyo si mara ya mwanzo kufanywa na Israel. Mwaka 1948 misikiti mingi na majengo ya kihistoria na kitamaduni yaliybomolewa wakati wa uundwaji wa taifa haramu la Israel.

Usalama nchi na watu wake ni muhimu kuliko hizo historia. Waliokuwa wanajificha na ku-target Israel kwa maroketi kutokea humo walipaswa wajue hilo.
 
hawa ndio maana wakaitwa ni watu waliolaaniwa
Nani aliye walaani mkuu (kama ingekuwa hivyo tungeona matokeo ya laana hiyo miaka mingi maana kazi ya laana inajulikana). Hao watu wamebarikiwa na Mungu wa kweli. Ila mungu wenu (ambaye siyo mungu) amewadanganya. Na tunaposema allah siyo Mungu wa kweli, ninyi mnadhani tunatania kumbe hatutanii huo ndio ukweli.
 
Nyie hamna jema,mkimaliza kuuwa watu wa dini tofauti huwa mnaanza kuuana ninyi kwa ninyi,mfano irag,yanayoendelea sudan-khartoum,nk hizo ni baadhi ya nchi za waislamu ambazo wnauana wao kwa wao

Nashauri mauaji zaidi kwa hawa watu
Ushauri wako nani atausikiliza sasa? 😹😹
 
Why Did she Say before Islam in Gaza the Destroyed building was a church? What does that mean to the secular world?
 
Vibaya kama watachukua na viwanja lakini kama eneo lipo hao Wapalestina watajenga lingine then miaka 1,500 ijayo still litaonekana ni la kihistoria.

Au nakosea wadau.
 
Jumla ya majengo yanayozidi 100 yamebomolewa katika eneo la Gaza. Mojawapo lina umri wa zaidi ya miaka 1500 kabla Mtume Muhammad s.a.w hajazaliwa.

Imeelezwa ubomoaji huo umepoteza historia muhimu kwa wapalestina na dunia yote kwa jumla.

Kwa mujibu wa wasimamizi na wanahistoria wa kipalestina majengo hayo yote yameorodheshwa na UNESCO kama ni urithi wa dunia na yamechorwa na kuwekewa alama maalum kuyatambulisha yalipo.Kwa hali hiyo kupigwa na kubomolewa kwake ni kitendo cha makusudi kinachofanywa na Israel.

Wanahistoria hao wamesema uhalifu wa namna hiyo si mara ya mwanzo kufanywa na Israel. Mwaka 1948 misikiti mingi na majengo ya kihistoria na kitamaduni yaliybomolewa wakati wa uundwaji wa taifa haramu la Israel.

Hayo majengo yanatuhusu nini sisi weusi wa namtumbo ndani ndani
 
Safi sana. Magaidi lazima tuwafute sambamba na historia yao
 
Kwa hili wateule wamekosea sana.
 
Wamelaaniwa na nani..😂😂😂
Mbinu zao zinajulikana sana.Na si Gaza na Palestina pekee.Na mwaka huu ni mwendelezo tu.
Wanafanya tangu Iraq,Syria,Timbuktu na hata Tanzania.Na kila penye vita
 
Back
Top Bottom