Majengo zaidi ya 100 ya kihistoria na ya kale yamebomolewa na Israel. Ni msiba mkubwa kwa dunia

Majengo zaidi ya 100 ya kihistoria na ya kale yamebomolewa na Israel. Ni msiba mkubwa kwa dunia

Mbinu zao zinajulikana sana.Na si Gaza na Palestina pekee.Na mwaka huu ni mwendelezo tu.
Wanafanya tangu Iraq,Syria,Timbuktu na hata Tanzania.Na kila penye vita
Hujajibu swali, wamelaaniwa na nani...???
 
Jumla ya majengo yanayozidi 100 yamebomolewa katika eneo la Gaza. Mojawapo lina umri wa zaidi ya miaka 1500 kabla Mtume Muhammad s.a.w hajazaliwa.

Imeelezwa ubomoaji huo umepoteza historia muhimu kwa wapalestina na dunia yote kwa jumla.

Kwa mujibu wa wasimamizi na wanahistoria wa kipalestina majengo hayo yote yameorodheshwa na UNESCO kama ni urithi wa dunia na yamechorwa na kuwekewa alama maalum kuyatambulisha yalipo.Kwa hali hiyo kupigwa na kubomolewa kwake ni kitendo cha makusudi kinachofanywa na Israel.

Wanahistoria hao wamesema uhalifu wa namna hiyo si mara ya mwanzo kufanywa na Israel. Mwaka 1948 misikiti mingi na majengo ya kihistoria na kitamaduni yaliybomolewa wakati wa uundwaji wa taifa haramu la Israel.


Hiyo historia iliwahi kukulisha chakula? Ni ujinga kuacha magofu mjini badala ya kujenga maramani ya kisasa kuupendezesha mji eti kisa walijenga wazee ningekuwa Mimi bagamoyo na mji mkongwe yote nashusha na kuweka maramani ya hatari
 
Back
Top Bottom