Majengo zaidi ya 100 ya kihistoria na ya kale yamebomolewa na Israel. Ni msiba mkubwa kwa dunia

Mbinu zao zinajulikana sana.Na si Gaza na Palestina pekee.Na mwaka huu ni mwendelezo tu.
Wanafanya tangu Iraq,Syria,Timbuktu na hata Tanzania.Na kila penye vita
Hujajibu swali, wamelaaniwa na nani...???
 
Hiyo historia iliwahi kukulisha chakula? Ni ujinga kuacha magofu mjini badala ya kujenga maramani ya kisasa kuupendezesha mji eti kisa walijenga wazee ningekuwa Mimi bagamoyo na mji mkongwe yote nashusha na kuweka maramani ya hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…