Majeshi shupavu ya Israel yaanza kujisogeza huko Gaza

Ulileta habari kila kukicha kuwa Wagaza wataondolewa Gaza. Vipi wamepelekwa nchi gani?.

Hao IDF ni vizuri waendelee kukaa ndani ya Gaza ili tuendelee kuwalebel kuwa ni "occupiers", then wimbi hili la dunia kuichukia Israel linavyozidi kushika kasi na Taifa la Palestine kuenedlea kutambulika kinachofuata ni pressure ya boycot, vikwazo, na kuwatenga Wazayuni kwenye international bodies. Watabaki wenyewe tu kama wachawi.
 
Inasikitisha sana kujua kuwa wewe hujui kuwa kuna wapalestina wengi sana walishatoka huko Gaza na kwenda kwenyel nchi zingine Pole sana kwa kuwa mbumbumbu kwa hilo!!

Eti unasema ni vizuri IDF wakae Gaza!! Hayo ni maneno ya kujipa moyo na kujifariji baada ya magaidi wa Hamas kushindwa vibaya kwenye uwanja wa vita. Kabla ya Oct 07,2023 walikuwa wanamiliki Gaza yote sasa hivi wanaenda kumiliki 47% ya Gaza yote hii inaonyesha ni jinni gani walivyo dhaifu.

Baada ya Oct 07,2023 magaidi wa Hamas walisema hawatawaachia mateka mpaka ipatikane palestina huru lakini baada ya kubomondwa sawasawa wao wenyewe walikubali kuwaachia mateka wote 48 kwa taarifa yoko tu Hamqs wakiwaachia tu wale mateka basi ujue huo ndiyo mwisho wa Hamas watapigwa mpaka wachakae maana hakuna namna nyingine!!
 
Majeshi ya Israel taarabu yameanza kujisogeza taaratibu ili kuweza kukalia 53% ya Gaza na kuwaachia 47% magaidi wa Hamas

Kwani wamefanikiwa kuwakomboa mateka wangapi kwa nguvu? Si walishasema wao hawaongei tena? Au?
 
Sawa Malkia Zumaridi tumekusikia , eti shupavu , makalio yako
Waislamu wakizidiwa tu hoja daima hupotosha habari na kusema uongo wakishindwa hapo huanza matusi na ukiona hivyo elewa tu huyo ni mwislamu pure!!

Kwa hiyo waislamu mimi hawanitishi na matusi yao!!!
 
Kwani wamefanikiwa kuwakomboa mateka wangapi kwa nguvu? Si walishasema wao hawaongei tena? Au?
Israel ilikuwa inataka mateka waachiwe huru njia yoyote ile ama sivyo kipondo kiendelee uzuri magaidi wamechagua fungus jema kuwaachia mateka wote!!
 
Kwa hiyo hukuwahi kuusikia utayari wa HAMAS kuwaachia mateka wote tokea day 1? Kwani ulikuwa wapi muda wote hata usiyajue hayo yaliyokuwapo hadharani siku zote?
 
Baada ya Hamas kubondwa sawasawa na majeshi ya Israel ndiyo wakakubali kupakatwa na kuamua kuwaachia mateka wote!!!

Hayo mengine ni ujinga tu unakusumbua najua ukikua utaacha ujinga huo!!
 
Kumbe hata mpango wa point 20 wa beberu mwenyewe nao hukupata kuusikia kabisa?

Bure kabisa!
 
Ulileta habari kila kukicha kuwa Wagaza wataondolewa Gaza. Vipi wamepelekwa nchi gani?.

Hao IDF ni vizuri waendelee kukaa ndani ya Gaza ili tuendelee kuwalebel kuwa ni "occupiers", then wimbi hili la dunia kuichukia Israel linavyozidi kushika kasi na Taifa la Palestine kuenedlea kutambulika kinachofuata ni pressure ya boycot, vikwazo, na kuwatenga Wazayuni kwenye international bodies. Watabaki wenyewe tu kama wachawi.
Dunia hii uungwe mkono na Marekani na baadhi ya washirika kisha uchukiwe na Africa, Asia n.k huoni kama wewe umeshatoboa kimaisha?
 
Political landscape inabadilika.
Europe nzima sasa hivi haiwataki wazayuni

Marekani pia kuna polls imefanyika, wamarekani wengi for the first in history majority hawaipendi Israel, wanasympathize na wapalestina. Tegema kuona hii kitu inajitranslate namna wanasiasa watakavyoanza kubehave.

Kiufupi ni kuwa, hata Aprtheid South Afrika kwa miaka mingi iliienjoy support ya serikali ya marekani, lakini wananchi walipochachamaa, serikali ya Marekani ikapiga U-turn, ikaanza kuinyoosha serikali ya kikaburu ya South Africa
 
Back
Top Bottom