Majeshi ya Afrika kuna yalichojifunza kutoka kwa Jeshi la Israel (IDF) hasa kwa kushambulia maadui wa kila kona kwa pamoja?

Ya muhimu....

1. Israel lina Wanajeshi wenye Uzalendo usio wa mashaka na Taifa lao
2. Israel lina Jeshi lenye si tu bora Wanajeshi bali Wanajeshi waliosoma vyema na wana Akili sana Kichwani
3. Israel lina Jeshi ambalo Askari wake hawatiliwi Mashaka kama hawana Uraia kamili wa Israel
4. Israel lina Jeshi ambalo lina Vifaa vya Kisasa vinavyoweza kutumiwa na Askari wao wowote
5. Israel lina Jeshi ambalo Idara yake ya Ujasusi ni Imara inayoweza Kumsaka Adui popote hata Udongoni
6. Israel lina Jeshi ambalo lina Mitambo tosha ya Kiteknolojia na Makombora ya kila namna Kumkabili Adui
7. Israel lina Jeshi ambalo lina Maadili na huwakuti wakinywa Gongo au wakigombea Malaya katika Baa

Ninauliza tena je, Majeshi ya Afrika hasa lile moja fulani fulani nalo lina Ubavu kama huu wa Jeshi Kabambe la Israel?
Namba 8. Pia jeshi lao askari wa kiume wanaruhusiwa kufokoana mtaro na wakike kusagana. UMESAHAU JAMBO MUHMU HL MKUU GENTA
 
Israil kazi yao ni kuvuta TRIGER kwa wapuuzi!! yaani palestine wakiwauwa waisrail utasikia"takbiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiir" lakini wakichapwa wao wanapiga picha watoto wao na kuwaonyesha kwenye media!!
Hawalei ujinga wale

Ova
 
Rwanda wanakufuata popote pale. Ulipo, wapo.

Siyo popote pale. Kagame anacheza ndani ya bara la Afrika tu. Mauaji ya wale waliomkimbia yamefanyika jirani - Afrika kusini na Msumbiji. Akina Patrick Karegeya, Revocat Karemangingo na Baziga walidhani wamemkimbia Kagame kumbe wapi!
 
Na ndiyo maana hata CCM inajivunia Kutawala kwani imeshajua kuwa Wapumbavu ni wengi TZ kuliko wenye IQ Kubwa.
Si kwamba wametengeneza mfumo wa elimu ambao utazalisha wasomi wasio na upeo, uwezo wa kujenga hoja, kuhoji, kufikiri nie ya box?
Mfumo wa elim unazalisha chawa , kujikomba na watu wasio na manufaa kwa jamii
 
Umemaliza kila Kitu Mkuu. Heko.
 
Wamepigana six day war dhidi ya mataifa zaidi ya kumi
Ila wanashindwa kupigana dhidi ya kata mwaka kasoro sasa
Afrika funzo pekee wanaloweza pewa na jeshi la kizayuni ninamna ya kuua watoto kina mama na majumba
Wazayuni ukiwasikia kwenye BBC na MSM nyengine utawaogopa kumbe weupe kama pamba😀
 
Mzee kajionee hii habari nimethibitisha Israel anavyopiga kambi za wakimbizi,shule au hospital Hana makosa . Hata habari kuhusu kuuliwa kwa waandishi wa habari kwa kisingizio Cha ni miongoni mwa Hamas inaweza kuwa kweli hapa watumishi wa utoaji wa misaada kwa wapalestina kumbe nao ni magaidi.
Screenshot_20240806-111602.png
 
View: https://www.democracynow.org/2024/8/1/israel_gaza_palestinian_prisoners_torture

Ultra-right-wing Israeli nationalists stormed two military facilities late Monday, protesting the detention and questioning of nine Israel Defense Forces reservists suspected of raping and abusing a Palestinian prisoner whose injuries were so bad he had to be hospitalized. Social media videos show guards at the Sde Teiman military base and prison, near Beersheba in southern Israel, shouting at and pushing military police who'd arrived to question the reservists, seemingly in defense of the suspects....

Jamaa wana nidhamu sana.

Back
Top Bottom