Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Nimeipenda hiiHIzo sifa apewe marekani na uingereza hao wengine ni cover up tu, ina maana hadi leo hujui vitu vidogo kama hivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeipenda hiiHIzo sifa apewe marekani na uingereza hao wengine ni cover up tu, ina maana hadi leo hujui vitu vidogo kama hivi
Umependa Kudanganywa hivyo?Nimeipenda hii
Israil kazi yao ni kuvuta TRIGER kwa wapuuzi!! yaani palestine wakiwauwa waisrail utasikia"takbiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiir" lakini wakichapwa wao wanapiga picha watoto wao na kuwaonyesha kwenye media!!Nachowapendea wa is real hawacheki na kima,wao bampa to bampa tu
Ova
Hahaha tell me bro, some people seems hawana idea how things are , wanashabikia serious issues kama simba na yangaKwa hii Elimu yako Kubwa unategemea kabisa that certified Moron akuelewe Mkuu?
Kwa hii Elimu yako Kubwa unategemea kabisa that certified Moron akuelewe Mkuu?
Na ndiyo maana hata CCM inajivunia Kutawala kwani imeshajua kuwa Wapumbavu ni wengi TZ kuliko wenye IQ Kubwa.Hahaha tell me bro, some people seems hawana idea how things are , wanashabikia serious issues kama simba na yanga
Namba 8. Pia jeshi lao askari wa kiume wanaruhusiwa kufokoana mtaro na wakike kusagana. UMESAHAU JAMBO MUHMU HL MKUU GENTAYa muhimu....
1. Israel lina Wanajeshi wenye Uzalendo usio wa mashaka na Taifa lao
2. Israel lina Jeshi lenye si tu bora Wanajeshi bali Wanajeshi waliosoma vyema na wana Akili sana Kichwani
3. Israel lina Jeshi ambalo Askari wake hawatiliwi Mashaka kama hawana Uraia kamili wa Israel
4. Israel lina Jeshi ambalo lina Vifaa vya Kisasa vinavyoweza kutumiwa na Askari wao wowote
5. Israel lina Jeshi ambalo Idara yake ya Ujasusi ni Imara inayoweza Kumsaka Adui popote hata Udongoni
6. Israel lina Jeshi ambalo lina Mitambo tosha ya Kiteknolojia na Makombora ya kila namna Kumkabili Adui
7. Israel lina Jeshi ambalo lina Maadili na huwakuti wakinywa Gongo au wakigombea Malaya katika Baa
Ninauliza tena je, Majeshi ya Afrika hasa lile moja fulani fulani nalo lina Ubavu kama huu wa Jeshi Kabambe la Israel?
Una uhakika wa 100% kuwa aina ya Bange / Bangi ambayo uliagiza uletewe Uvute leo ilikuwa ni sahihi au ina Kinyesi?Namba 8. Pia jeshi lao askari wa kiume wanaruhusiwa kufokoana mtaro na wakike kusagana. UMESAHAU JAMBO MUHMU HL MKUU GENTA
Hawalei ujinga waleIsrail kazi yao ni kuvuta TRIGER kwa wapuuzi!! yaani palestine wakiwauwa waisrail utasikia"takbiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiir" lakini wakichapwa wao wanapiga picha watoto wao na kuwaonyesha kwenye media!!
Rwanda wanakufuata popote pale. Ulipo, wapo.
Siyo popote pale. Kagame anacheza ndani ya bara la Afrika tu. Mauaji ya wale waliomkimbia yamefanyika jirani - Afrika kusini na Msumbiji. Akina Patrick Karegeya, Revocat Karemangingo na Baziga walidhani wamemkimbia Kagame kumbe wapi!Rwanda wanakufuata popote pale. Ulipo, wapo.
Kama vile ambavyo hata GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE huwa silei Wapumbavu na huwa siwacheleweshi wakijaa katika 18 zangu.Hawalei ujinga wale
Ova
Kwahyo hl nalo unabsha MKUU GENTA?Una uhakika wa 100% kuwa aina ya Bange / Bangi ambayo uliagiza uletewe Uvute leo ilikuwa ni sahihi au ina Kinyesi?
Si kwamba wametengeneza mfumo wa elimu ambao utazalisha wasomi wasio na upeo, uwezo wa kujenga hoja, kuhoji, kufikiri nie ya box?Na ndiyo maana hata CCM inajivunia Kutawala kwani imeshajua kuwa Wapumbavu ni wengi TZ kuliko wenye IQ Kubwa.
Umemaliza kila Kitu Mkuu. Heko.Si kwamba wametengeneza mfumo wa elimu ambao utazalisha wasomi wasio na upeo, uwezo wa kujenga hoja, kuhoji, kufikiri nie ya box?
Mfumo wa elim unazalisha chawa , kujikomba na watu wasio na manufaa kwa jamii
Sawa sawa,unanifurahishaga unavyowakaziaga 😄Kama vile ambavyo hata GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE huwa silei Wapumbavu na huwa siwacheleweshi wakijaa katika 18 zangu.
Huna kitu kichwanUbongo uliobemendwa, uliosindikwa na uliojaa Makamasi tupu kamwe hauwezi kunipotezea Mimi muda hapa JF Ok?
Ungehangaika tu Kutwa nami hapa JamiiForums? Idiot...!!Huna kitu kichwan
Mzee kajionee hii habari nimethibitisha Israel anavyopiga kambi za wakimbizi,shule au hospital Hana makosa . Hata habari kuhusu kuuliwa kwa waandishi wa habari kwa kisingizio Cha ni miongoni mwa Hamas inaweza kuwa kweli hapa watumishi wa utoaji wa misaada kwa wapalestina kumbe nao ni magaidi.Wamepigana six day war dhidi ya mataifa zaidi ya kumi
Ila wanashindwa kupigana dhidi ya kata mwaka kasoro sasa
Afrika funzo pekee wanaloweza pewa na jeshi la kizayuni ninamna ya kuua watoto kina mama na majumba
Wazayuni ukiwasikia kwenye BBC na MSM nyengine utawaogopa kumbe weupe kama pamba😀
Ya muhimu....