Majeshi ya Ethiopia yajikusanya katika mpaka wa Kenya na Somalia, yakijiandaa kwa mashambulizi

Majeshi ya Ethiopia yajikusanya katika mpaka wa Kenya na Somalia, yakijiandaa kwa mashambulizi

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
Tension in Mandera as Ethiopian Troops Amass
Kenya hili mlilitaka wenyewe kutokana na kiburi chenu na kujifanya wajuaji, ni wazi kwamba KDF hawana uwezo wa kupingana na majeshi ya Ethiopia, ushauri wangu, kuweni wapole sana, hata wakivuka mpaka na kuingia Kenya, msijibu mashambulizi, badala yake tumieni njia za kidiplomasia kutafuta suluhu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nini kinaendelea huku mkuu?
Corona Virus: Mwandishi wa Habari wa The Citizen afukuzwa kazi kwa kutoa Maoni ya kukosoa hotuba ya Rais Magufuli - JamiiForums
 
Huku corona kule war mbona shiida
Hamna vita hapo, Uhuru Kenyatta sio mjinga kiasi hicho, anajua uwezo wa jeshi la Ethiopia, hawezi kuruhusu walevi wa KDF kupigana na jeshi la Ethiopia, ndani ya wiki moja, Nairobi itakuwa mikononi mwa wahabeshi.[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kweli nilidhani Ethiopia ni nchi ilostarabika lakini kwa hatua inazochukua, ni hatua za kizamani sana, ulimwengu wa sasa ni wa wastaarabu, wastarabu wanaamini katika diplomasia kusuluhisha migogoro,jeshi ni hatua ambayo hufuata mwishoni baada ya kila option kushindikana ,utadhani ni kipindi cha ukoloni ile GUN BOOT DIPLOMACY, shame on them.
 
Fungua huo uzi hiyo notice ya kufutwa kazi ilikuwa tar.20 halafu jamaa ujumbe kauandika tar.22 inaonekana alifutwa kazi two days before... Usiwe unaokota okota kila kitu kama mtoto mchanga... Focus kwenye mada.
Lengo lake ni kutaka kuharibu huu uzi ili kuficha aibu ya KDF, Achana naye usimjibu. Tujikite katika mada husika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kweli nilidhani Ethiopia ni nchi ilostarabika lakini kwa hatua inazochukua, ni hatua za kizamani sana, ulimwengu wa sasa ni wa wastaarabu, wastarabu wanaamini katika diplomasia kusuluhisha migogoro,jeshi ni hatua ambayo hufuata mwishoni baada ya kila option kushindikana ,utadhani ni kipindi cha ukoloni ile GUN BOOT DIPLOMACY, shame on them.
Hapana Kaka, Kama umefuatilia sana huu mgogoro, Kenya ndio yenye matatizo, jumuiya ya kimataifa ikiwemo USA ambayo baadhi ya wanajeshi wake wapo Kenya, ilitoa onyo kwa Kenya kujiingiza ktk siasa za ndani za Somalia na kutaka kuidhohofisha serikali ya Mogadishu yenye kutambulika duniani na kuunga mkono serikali ya Jubaland.

Kama Ethiopia itaamua kuivamia Kenya ili kuitia adabu, jumuiya ya kimataifa haitolaumu Ethiopia kwasababu itakua inailazimisha Kenya kuungana na dunia katika kuhakikisha kwamba Somalia inabaki kuwa nchi mmoja, badala ya kutaka kuigawa vipande vipande Kama inavyotaka kufanya Jubaland kwa kushirikiana na Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pumba tu kama kawa, mbona usijisajilishi tu kwenye chuo ambacho kina course ya kujifunza kiingereza badala ya kujiabisha kila siku? Vikosi vya Ethiopia vinaisaidia serikali kuu ya Somalia kwenye mgogoro wao na vita dhidi ya Jamhuri ya Jubbaland. Baada ya wao kugaragazwa kweli kweli kivita na vikosi vya Rais Sheikh Madobe wa Jubbaland mwezi uliopita kwenye mji wa Bula Hawo, Somalia. Bula Hawo inapakana na mji wa Mandera, Kenya. Mambo ya Ethiopia kuivamia Kenya ni ndoto zako tu na kuchanganyikiwa kwako, kwasababu ya lugha gongana.
 
Pumba tu kama, mbona usijisajilishi tu kwenye chuo ambacho kina course ya kujifunza kiingereza badala ya kujiabisha kila siku? Vikosi vya Ethiopia vinaisaidia serikali kuu ya Somalia kwenye mgogoro wao na vita dhidi ya Jamhuri ya Jubbaland. Mambo ya kuivamia Kenya ni ndoto zako tu, na kuchanganyikiwa kwako, kwasababu ya lugha gongana.
Hahahaha, hahahaha, hahahaha. Unadhani kwanini hao wakazi wa Mandera wanapata wasiwasi?. Hayo majeshi ya Jubaland yanasaidiwa na serikali ya Kenya, wakizidiwa wanaingia Kenya kujificha, wiki mbili zilizopita majeshi ya serikali ya Somalia yalivuka mpaka na kuwafata hadi hapo Mandera.

Muhimu ni kwamba Kenya inasaidia serikali ya Jubaland, na Ethiopia inasaidia serikali ya Mogadishu, Kenya na Ethiopia wanapigana "Proxiwa". Hao Ethiopia wanajua majeshi ya Jubaland yatakimbilia ndani ya Kenya, wamejiandaa kuwafuata ndani ya ardhi ya Kenya, KDF wakijibu mapigo ndio mtakapopata kichapo cha Mbwa koko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana Kaka, Kama umefuatilia sana huu mgogoro, Kenya ndio yenye matatizo, jumuiya ya kimataifa ikiwemo USA ambayo baadhi ya wanajeshi wake wapo Kenya, ilitoa onyo kwa Kenya kujiingiza ktk siasa za ndani za Somalia na kutaka kuidhohofisha serikali ya Mogadishu yenye kutambulika duniani na kuunga mkono serikali ya Jubaland.

Kama Ethiopia itaamua kuivamia Kenya ili kuitia adabu, jumuiya ya kimataifa haitolaumu Ethiopia kwasababu itakua inailazimisha Kenya kuungana na dunia katika kuhakikisha kwamba Somalia inabaki kuwa nchi mmoja, badala ya kutaka kuigawa vipande vipande Kama inavyotaka kufanya Jubaland kwa kushirikiana na Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jeshi la Kenya sio lenye kiwango kama la Ethiopia, kiuwezo, kiuchumi hilo kosa haliwezi kufanyika na mwana diplomasia kama Uhuru kinyatta......jeshi la Ethiopia sio kama la Tz ambalo halina mazoezi ya vita zaidi ya kulinda Amani katika nchi zingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom