joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
- #21
Sijapata vizuri "point" yako, lengo lako unataka kusemaje kuhusu hiki kitendo cha majeshi ya Ethiopia kujikusanya karibu na Kenya?Jeshi la Kenya sio lenye kiwango kama la Ethiopia, kiuwezo, kiuchumi hilo kosa haliwezi kufanyika na mwana diplomasia kama Uhuru kinyatta......jeshi la Ethiopia sio kama la Tz ambalo halina mazoezi ya vita zaidi ya kulinda Amani katika nchi zingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app