Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Em subiri kidogoPumba tu kama kawa, mbona usijisajilishi tu kwenye chuo ambacho kina course ya kujifunza kiingereza badala ya kujiabisha kila siku? Vikosi vya Ethiopia vinaisaidia serikali kuu ya Somalia kwenye mgogoro wao na vita dhidi ya Jamhuri ya Jubbaland. Baada ya wao kugaragazwa kweli kweli kivita na vikosi vya Rais Sheikh Madobe wa Jubbaland mwezi uliopita kwenye mji wa Bula Hawo, Somalia. Bula Hawo inapakana na mji wa Mandera, Kenya. Mambo ya Ethiopia kuivamia Kenya ni ndoto zako tu na kuchanganyikiwa kwako, kwasababu ya lugha gongana.
Sent using Jamii Forums mobile app