Majeshi ya Ethiopia yajikusanya katika mpaka wa Kenya na Somalia, yakijiandaa kwa mashambulizi

Majeshi ya Ethiopia yajikusanya katika mpaka wa Kenya na Somalia, yakijiandaa kwa mashambulizi

Pumba tu kama kawa, mbona usijisajilishi tu kwenye chuo ambacho kina course ya kujifunza kiingereza badala ya kujiabisha kila siku? Vikosi vya Ethiopia vinaisaidia serikali kuu ya Somalia kwenye mgogoro wao na vita dhidi ya Jamhuri ya Jubbaland. Baada ya wao kugaragazwa kweli kweli kivita na vikosi vya Rais Sheikh Madobe wa Jubbaland mwezi uliopita kwenye mji wa Bula Hawo, Somalia. Bula Hawo inapakana na mji wa Mandera, Kenya. Mambo ya Ethiopia kuivamia Kenya ni ndoto zako tu na kuchanganyikiwa kwako, kwasababu ya lugha gongana.
Em subiri kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fungua huo uzi hiyo notice ya kufutwa kazi ilikuwa tar.20 halafu jamaa ujumbe kauandika tar.22 inaonekana alifutwa kazi two days before... Usiwe unaokota okota kila kitu kama mtoto mchanga... Focus kwenye mada.
Huwa wanajifanya kufuatilia ya Tanzania lakini siku zote wanapitwa na wakati
 
Kenya itapigwa na Ethiopia waihujumu Kenya kiuchumi, Tanzania itupiku ichukue nafasi ya pili after Ethiopia alafu Kenya ichukue position 3 ambayo ilikuwa ya Tz alafu joto la jiwe afurahi..."tumeipiku Kenya" ...bure kabisa it will never happen ni Kama kungoja Bandari ya Bagamoyo ianze Kuzinduliwa na praise team [emoji6]
Subiri tu siyo kupigwa tu miaka si mingi Mombasa itakuwa nchi msije sema mm ni nabii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ethiopia going to war with Kenya is the dream of every virgin zoomali. This Will not happen.we all know #ENDF & KDF won't engage each other, but use Somali foot soldiers.
Currently SNA militia cannot withstand Jubaland forces
We kumbafuu kingereza akizui vita mura

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini Ethiopia itaporomoka vibaya sana kama Kenya ikiamua nadhani asilimia kubwa ya bidhaa zinazokwenda kwao zinapitia Mombasa.

Au ikoje hii Mr MK254
Kenya ndiyo itaporomoka kabisa pia Kenya inaweza kukatwa kirahisi vipande viwili yani Mombasa kuwa nchi kamili maana hata Kenya inajaribu kuikata somalia kwa manufaa yake pia wasomali wanaweza kuikata Kenya kwa manufaa yao tena habari ya chini ya kapeti zinasema harakati za kuikata Kenya zimeanza na dalili zinaonekana ila serikali dhaifu ya Kenya imeshindwa kung'amua ,kama mnakumbuka kikundi cha ugaidi kimeanza kuua kwa kuangalia watu wa Kenya bara na Kenya pwani hii inaanza kuwapatia wafuasi kutoka bara maana serikali ya Kenya imeanza kuachia ajira za watu wa pwani kwa watu wa pwani hivyo watu wa pwani waliokuwa na chuki za ajira zao kuchukuliwa na watu wa bara wameanza kuwakubali magaidi kwa namna moja au nyingine,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Let me make things clear .Distance from (Mandera Kenya) to dolow Somalia is roughly 40km .
If anyone has been following development surrounding Abdirashid Janaan .You will know that the he had his militia base at dolow and also had an Airstrip named after him.The said airport was captured by SNA then recently handed to Ethiopians.
EToKvTwXkAE4LM8.jpeg

There is a reason why SNA is being withdrawn from Gedo and getting replaced by Amisom forces (which I will explain later)
 
Kenya ndiyo itaporomoka kabisa pia Kenya inaweza kukatwa kirahisi vipande viwili yani Mombasa kuwa nchi kamili maana hata Kenya inajaribu kuikata somalia kwa manufaa yake pia wasomali wanaweza kuikata Kenya kwa manufaa yao tena habari ya chini ya kapeti zinasema harakati za kuikata Kenya zimeanza na dalili zinaonekana ila serikali dhaifu ya Kenya imeshindwa kung'amua ,kama mnakumbuka kikundi cha ugaidi kimeanza kuua kwa kuangalia watu wa Kenya bara na Kenya pwani hii inaanza kuwapatia wafuasi kutoka bara maana serikali ya Kenya imeanza kuachia ajira za watu wa pwani kwa watu wa pwani hivyo watu wa pwani waliokuwa na chuki za ajira zao kuchukuliwa na watu wa bara wameanza kuwakubali magaidi kwa namna moja au nyingine,

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Kenya iko mbele sana ki-inteligencia kwa sababu ya uwepo wa US military base tatizo lao kuu naona ni kucheza na nchi ya kipuuzi kama Somalia ambayo hatujui inapambania nini maana Magaidi wanaishambulia Garisa na Serikali inaishambulia Garisa.

Tanzania hatujapata tu hizo chokochoko siku wakipata sababu za kuja tutaelewa somo
 
Kaka, Ethiopia wameshajenga rail, tena ya umeme kuunganisha na Bandari ya Djibouti, mzigo wote wa Ethiopia 100% unapitia Djibouti, kumbuka kwamba lazima watumi hii reli yao ili kurudisha deni la mchina.

Umbali wa Adis Ababa hadi bandari ya Djibouti ni Kama 750Km, wakati kutoka Adis hadi Mombasa ni zaidi ya 1000Km. Upande wa kaskazini mwa Adis kuelekea Djibouti ndio kuliko na Economic zone, usalama na ardhi yenye rutuba, wakati kusini mwa Ethiopia ni sawa na Kaskazini mashariki mwa Kenya, ni kukame, hakuna barabara wala shughuli za kiuchumi zaidi ya wafugaji ambao hupigana mara kwa Mara, usalama ni zero.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeona ka Djibouti kapo strategically sana japo ni kadogo nadhani Kenya wakiamua kwa uchumi wao wanaweza kuwapiku despite of mataifa mengi ya dunia ikiwemo America, France, Japan n.k kuifanya ile nchi ni watchtower yao.

Sasa mkuu Kenya huwa anafanya biashara zake na nchi gani ukiitoa Uganda maana bandari ya Mombasa ina mapato makubwa kuliko ya DSM?
 
Back
Top Bottom