Majeshi ya Ethiopia yajikusanya katika mpaka wa Kenya na Somalia, yakijiandaa kwa mashambulizi

Majeshi ya Ethiopia yajikusanya katika mpaka wa Kenya na Somalia, yakijiandaa kwa mashambulizi

Acha upumbavu joto la jiwe, hebu soma tena kichwa cha uzi wako, kisha usome hizi pumba kwenye taarifa yako; ''Kenya hili mlilitaka wenyewe kutokana
na kiburi chenu na kujifanya wajuaji,
ni wazi kwamba KDF hawana uwezo
wa kupingana na majeshi ya Ethiopia,
ushauri wangu, kuweni wapole sana,
hata wakivuka mpaka na kuingia Kenya, msijibu mashambulizi, badala
yake tumieni njia za kidiplomasia
kutafuta suluhu.'' Swali langu linabaki pale pale. Mashambulizi ya vikosi vya kijeshi vya Ethiopia yamefikia wapi hadi sasa hivi na wamewaua wakenya wangapi kufikia sasa?
 
Hilo eneo la Somali linalopakana na Mandera ni Sector yao ya kushika Doria, hao Ethiopia hua wanapenda kusaliti sector yao na kurudi Ethiopia alafu baada ya miezi kadhaa wanarudi ndani ya Sector yao
hata wale wanajeshi wa KDF walio shambuliwa pale El-Adde walikua wanashika doria ndani ya Sector iliopewa Ethiopian army hii ni baada ya Ethiopia kuondoa wanajeshi wake kwa miezi miwili mfululizo na kuiwacha hio sehemu bila Ulinzi, Kwavile hio sehemu iko karibu na mpaka wa Kenya, ikabidi KDF walioko Somalia watumwe huko kushika Doria manake bila hivyo alshabaab watakua hawana mpinzani wakitaka kuja na magari na malori hadi mpaka wa Kenya.

Kama ingekua wanajeshi wa Ethiopia wanashika Doria hilo eneo basi mwezi uliopita hivyo vita kati ya Jubaland forces na Somalia National Army havingefanyika

somalia-amisom-2.jpg
 
Acha upumbavu joto la jiwe, hebu soma tena kichwa cha uzi wako, kisha usome hizi pumba kwenye taarifa yako; ''Kenya hili mlilitaka wenyewe kutokana
na kiburi chenu na kujifanya wajuaji,
ni wazi kwamba KDF hawana uwezo
wa kupingana na majeshi ya Ethiopia,
ushauri wangu, kuweni wapole sana,
hata wakivuka mpaka na kuingia Kenya, msijibu mashambulizi, badala
yake tumieni njia za kidiplomasia
kutafuta suluhu.'' Swali langu linabaki pale pale. Mashambulizi ya vikosi vya kijeshi vya Ethiopia yamefikia wapi hadi sasa hivi na wamewaua wakenya wangapi kufikia sasa?
Wewe huna akili tena ni Mpumbavu kuliko wapumbavu wote kupata kuwaona. Hivi kwanini wewe ni Mpumbavu kiasi hiki?.

Nilianza kwa sentensi isemayo " Hili mlilitaka wenyewe", hiyo maana yake ninarejea "hilo lililoandikwa katika hiyo article niliyoipost katika hiyo link hapo juu". Je hiyo article inazungumzia majeshi ya Ethiopia kuivamia Kenya?, jibu ni kwamba "hapana".

Hiyo article inazungumzia Ethiopia kusaidia SNA kushambulia majeshi ya Jubaland, kwasababu ninajua kwamba Majeshi ya Jubaland ukimbilia Kenya yanapozidiwa, na kwasababu SNA walishavuka mpaka na kuingia Kenya kuwafuata wanajeshi wa Jubaland, ni wazi kwamba kuna uwezekano wa majeshi ya Ethiopia pia kuvuka mpaka na kuingia Kenya.

Kwenye maelezo yangu niliendelea kwa kushauri kwamba "hata Kama majeshi ya Ethiopia yatavuka mpaka na kuingia Kenya", nikimaanisha kuwafuata wanajeshi wa Jubaland, KDF wasijaribu kuwashambulia kwa kufanya hivyo mtasababisha Ethiopia kuwacharaza KDF hadi Nairobi.

Jambo moja ninataka kukushauri, jaribu kusoma posts zangu kwa umakini sana kabla ya kujibu, huwa ninatumia muda na akili nyingi kabla sijapost kitu, sikurupuki, pia mnaona kuna "gap" kubwa Sana la uwezo wa akili kati yangu na wewe, sidhani Kama wewe upo "level" moja na mimi, jaribu kutafuta watu wa level yako, wacha sisi tulumbane na watu Kama Tony254.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kafrican look at how the spheres of influence changed real fast within 5 months of KDF's entry into Somalia. Security in Doolow, its environs and in the Somalia side of Mandera Town(Bula Hawo) has always been Ethiopia's responsibility.
somalia-spheres-of-influence-modified-by-abdishkur-jowhar-dec-20112.jpg
Today unlike in former 'Ugandishu', Kismayu is the safest town in Somalia, courtesy of KDF.
 
Wewe huna akili tena ni Mpumbavu kuliko wapumbavu wote kupata kuwaona. Hivi kwanini wewe ni Mpumbavu kiasi hiki?.
Nilianza kwa sentensi isemayo " Hili mlilitaka wenyewe", hiyo maana yake ninarejea "hilo lililoandikwa katika hiyo article niliyoipost katika hiyo link hapo juu". Je hiyo article inazungumzia majeshi ya Ethiopia kuivamia Kenya?, jibu ni kwamba "hapana".
Hiyo article inazungumzia Ethiopia kusaidia SNA kushambulia majeshi ya Jubaland, kwasababu ninajua kwamba Majeshi ya Jubaland ukimbilia Kenya yanapozidiwa, na kwasababu SNA walishavuka mpaka na kuingia Kenya kuwafuata wanajeshi wa Jubaland.
Kibwengo mkubwa wewe, naona akili zimekurudia baada ya kukurupuka na kujiabisha. [emoji1] Haya yote unayoyazungumzia nilikueleza nilipojaribu kusahihisha kauli yako kwamba Ethiopia wana mgogoro na/au vita, na eti wanataka kuivamia Kenya. Soma comment za kwanza uone kama sikukueleza kuhusu haya yote unayoyakariri sasa hivi. Bure kabisa.
 
Wewe ni Mpumbavu na nimekuambia huna uwezo wa kujadiliana na mimi. Hili jambo la Kenya kupigana na Ethiopia "through proxiwar, tumekua tukilizungumza toka mwaka jana na Mwaswast na Tony254, ninajua wanafuatilia huu mjadala na kukuona kwamba wewe ni pimbi Hujui unalozungumza.

Mwaka jana tulisema kwamba, Kenya na Ethiopia kuna siku zitapigana kwasababu zinatetea pande mbili mahasimu ndani ya Somalia, hakuna sehemu ambapo mtu yeyote ametaja kwamba Ethiopia itaivamia Kenya, onyesha wapi Mtu yeyote ametaja kwamba Ethiopia itaivamia Kenya.

Wewe kutokana na upumbavu wako. na jinsi inavyoonyesha ni kwakiasi gani unavyoogopa majeshi ya Ethiopia, haraka Sana ukahisi majeshi ya Ethiopia yanataka kuvamia Kenya.

Ukitaka kujipima ni kiasi gani wewe huna akili, jaribu kujiuliza maswali yafuatayo: 1) Inawezekanaje nchi ivamie na kushambulia nchi jirani bila kuwepo na mgogoro wowote?. Hakuna hata mkenya mmoja aliyeelewa kwamba Ethiopia ina lengo la kuivamia Kenya moja kwa moja, wewe peke yako kutokana na kuyaogopa majeshi ya Ethiopia na akili yako ndogo ndio umeelewa upumbavu wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha longo longo zako wewe joto la jiwe, tupe mrejesho acha kuruka ruka. Vikosi vya kijeshi vya Ethiopia vimefika wapi hadi sasa hivi? Ushauri wako ni upi? Tuanze kuchimba mahandaki huku Nairobi? 😀
 
Kenya ndiyo itaporomoka kabisa pia Kenya inaweza kukatwa kirahisi vipande viwili yani Mombasa kuwa nchi kamili maana hata Kenya inajaribu kuikata somalia kwa manufaa yake pia wasomali wanaweza kuikata Kenya kwa manufaa yao tena habari ya chini ya kapeti zinasema harakati za kuikata Kenya zimeanza na dalili zinaonekana ila serikali dhaifu ya Kenya imeshindwa kung'amua ,kama mnakumbuka kikundi cha ugaidi kimeanza kuua kwa kuangalia watu wa Kenya bara na Kenya pwani hii inaanza kuwapatia wafuasi kutoka bara maana serikali ya Kenya imeanza kuachia ajira za watu wa pwani kwa watu wa pwani hivyo watu wa pwani waliokuwa na chuki za ajira zao kuchukuliwa na watu wa bara wameanza kuwakubali magaidi kwa namna moja au nyingine,

Sent using Jamii Forums mobile app
Japo umeandika utumbo ila una point kias fran
 
Mkuu Kenya iko mbele sana ki-inteligencia kwa sababu ya uwepo wa US military base tatizo lao kuu naona ni kucheza na nchi ya kipuuzi kama Somalia ambayo hatujui inapambania nini maana Magaidi wanaishambulia Garisa na Serikali inaishambulia Garisa.

Tanzania hatujapata tu hizo chokochoko siku wakipata sababu za kuja tutaelewa somo
Intelligence ya Tz inajua hicho kitu that why hatujawachokoza

Pongezi za dhati ziende kwa tiss na JK
 
Back
Top Bottom