joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Nini kinaendelea huku mkuu?Tension in Mandera as Ethiopian Troops Amass
Kenya hili mlilitaka wenyewe kutokana na kiburi chenu na kujifanya wajuaji, ni wazi kwamba KDF hawana uwezo wa kupingana na majeshi ya Ethiopia, ushauri wangu, kuweni wapole sana, hata wakivuka mpaka na kuingia Kenya, msijibu mashambulizi, badala yake tumieni njia za kidiplomasia kutafuta suluhu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna vita hapo, Uhuru Kenyatta sio mjinga kiasi hicho, anajua uwezo wa jeshi la Ethiopia, hawezi kuruhusu walevi wa KDF kupigana na jeshi la Ethiopia, ndani ya wiki moja, Nairobi itakuwa mikononi mwa wahabeshi.[emoji23][emoji23][emoji23]Huku corona kule war mbona shiida
Fungua huo uzi hiyo notice ya kufutwa kazi ilikuwa tar.20 halafu jamaa ujumbe kauandika tar.22 inaonekana alifutwa kazi two days before... Usiwe unaokota okota kila kitu kama mtoto mchanga... Focus kwenye mada.
Lengo lake ni kutaka kuharibu huu uzi ili kuficha aibu ya KDF, Achana naye usimjibu. Tujikite katika mada husika.Fungua huo uzi hiyo notice ya kufutwa kazi ilikuwa tar.20 halafu jamaa ujumbe kauandika tar.22 inaonekana alifutwa kazi two days before... Usiwe unaokota okota kila kitu kama mtoto mchanga... Focus kwenye mada.
Tuombe Mungu wasipigane. Vita sio kitu chema hata kidogo
Hapana Kaka, Kama umefuatilia sana huu mgogoro, Kenya ndio yenye matatizo, jumuiya ya kimataifa ikiwemo USA ambayo baadhi ya wanajeshi wake wapo Kenya, ilitoa onyo kwa Kenya kujiingiza ktk siasa za ndani za Somalia na kutaka kuidhohofisha serikali ya Mogadishu yenye kutambulika duniani na kuunga mkono serikali ya Jubaland.Kwa kweli nilidhani Ethiopia ni nchi ilostarabika lakini kwa hatua inazochukua, ni hatua za kizamani sana, ulimwengu wa sasa ni wa wastaarabu, wastarabu wanaamini katika diplomasia kusuluhisha migogoro,jeshi ni hatua ambayo hufuata mwishoni baada ya kila option kushindikana ,utadhani ni kipindi cha ukoloni ile GUN BOOT DIPLOMACY, shame on them.
ShopliftersHamna vita hapo, Uhuru Kenyatta sio mjinga kiasi hicho, anajua uwezo wa jeshi la Ethiopia, hawezi kuruhusu walevi wa KDF kupigana na jeshi la Ethiopia, ndani ya wiki moja, Nairobi itakuwa mikononi mwa wahabeshi.[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri mzuri....wakivuka mpaka na kuingia Kenya, msijibu mashambulizi, badala yake tumieni njia za kidiplomasia kutafuta suluhu...
Hahahaha, hahahaha, hahahaha. Unadhani kwanini hao wakazi wa Mandera wanapata wasiwasi?. Hayo majeshi ya Jubaland yanasaidiwa na serikali ya Kenya, wakizidiwa wanaingia Kenya kujificha, wiki mbili zilizopita majeshi ya serikali ya Somalia yalivuka mpaka na kuwafata hadi hapo Mandera.Pumba tu kama, mbona usijisajilishi tu kwenye chuo ambacho kina course ya kujifunza kiingereza badala ya kujiabisha kila siku? Vikosi vya Ethiopia vinaisaidia serikali kuu ya Somalia kwenye mgogoro wao na vita dhidi ya Jamhuri ya Jubbaland. Mambo ya kuivamia Kenya ni ndoto zako tu, na kuchanganyikiwa kwako, kwasababu ya lugha gongana.
Tatizo wakenya ni vichwa maji, hawajitambui wala hawajui ukomo wa uwezo waoUshauri mzuri.
Jeshi la Kenya sio lenye kiwango kama la Ethiopia, kiuwezo, kiuchumi hilo kosa haliwezi kufanyika na mwana diplomasia kama Uhuru kinyatta......jeshi la Ethiopia sio kama la Tz ambalo halina mazoezi ya vita zaidi ya kulinda Amani katika nchi zingine.Hapana Kaka, Kama umefuatilia sana huu mgogoro, Kenya ndio yenye matatizo, jumuiya ya kimataifa ikiwemo USA ambayo baadhi ya wanajeshi wake wapo Kenya, ilitoa onyo kwa Kenya kujiingiza ktk siasa za ndani za Somalia na kutaka kuidhohofisha serikali ya Mogadishu yenye kutambulika duniani na kuunga mkono serikali ya Jubaland.
Kama Ethiopia itaamua kuivamia Kenya ili kuitia adabu, jumuiya ya kimataifa haitolaumu Ethiopia kwasababu itakua inailazimisha Kenya kuungana na dunia katika kuhakikisha kwamba Somalia inabaki kuwa nchi mmoja, badala ya kutaka kuigawa vipande vipande Kama inavyotaka kufanya Jubaland kwa kushirikiana na Kenya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tension in Mandera as Ethiopian Troops Amass
Kenya hili mlilitaka wenyewe kutokana na kiburi chenu na kujifanya wajuaji, ni wazi kwamba KDF hawana uwezo wa kupingana na majeshi ya Ethiopia, ushauri wangu, kuweni wapole sana, hata wakivuka mpaka na kuingia Kenya, msijibu mashambulizi, badala yake tumieni njia za kidiplomasia kutafuta suluhu.
Sent using Jamii Forums mobile app