Upumbavu uliotangulizwa kwa dini siku ukiondoka vichwani mwa watu Dunia itakuwa peace sana!Hivi hauna jambo lolote linalohusu jamii yako au taifa lako au bara lako ukatuhabarisha. Yaani mpo very proud na kuyatukuza mataifa ambayo hata hamna mfanano nayo kwa lolote. Huwezi kuta Mchina akiposti hivi kama wewe Mnazareti wa Mpiji Magoe
Mkuu; sasa ni kwa nini umeisoma post yake? Unadhani hatuna mfanano na Israeli? Kumbuka Israeli ana Ubalozi wake hapa Tz i.e. tuna mahusiano. Mchina atapost nini kama hana cha kupost na yupo busy kule K/koo na maokoto? Mbona hujawasema wale ndugu ambao tangu asb mpaka jioni ni Simba vs Yanga? Mwache aandike kitu kile roho inapenda.Hivi hauna jambo lolote linalohusu jamii yako au taifa lako au bara lako ukatuhabarisha. Yaani mpo very proud na kuyatukuza mataifa ambayo hata hamna mfanano nayo kwa lolote. Huwezi kuta Mchina akiposti hivi kama wewe Mnazareti wa Mpiji Magoe
Na kweli watamalizwa.Wawamalize tu
Sasa hiyo post kwamba vifaru vya Israel 🇮🇱 vikivinjari huko wewe na yeye vinawasaidia nini .Mkuu; sasa ni kwa nini umeisoma post yake? Unadhani hatuna mfanano na Israeli? Kumbuka Israeli ana Ubalozi wake hapa Tz i.e. tuna mahusiano. Mchina atapost nini kama hana cha kupost na yupo busy kule K/koo na maokoto? Mbona hujawasema wale ndugu ambao tangu asb mpaka jioni ni Simba vs Yanga? Mwache aandike kitu kile roho inapenda.
Hoja haiko hivyo. Hoja ni mdau awe na uhuru wa kupost kile anachoona yy anaweza kushare na wenzake wa aina yake. Birds of the same feather flock togetherSasa hiyo post kwamba vifaru vya Israel 🇮🇱 vikivinjari huko wewe na yeye vinawasaidia nini .
Tukubali tu hii ngozi yetu TUNA UJINGA MWINGI SANA.
Marekani hawezi kuposti jambo lolote la nchi yako labda Kuwe na Kipindupindu, Israel naye hawezi kuposti jambo lolote linalokuhusu wewe Palesho.
Mimi ni Mkristo lakini akili yangu haijatekwa kijinga kama wengine nyie ambao hata Myahudi akinya kwenye sahani mnaona ni Baraka kwenu
Hivi hauna jambo lolote linalohusu jamii yako au taifa lako au bara lako ukatuhabarisha. Yaani mpo very proud na kuyatukuza mataifa ambayo hata hamna mfanano nayo kwa lolote. Huwezi kuta Mchina akiposti hivi kama wewe Mnazareti wa Mpiji Magoe
Wewe upo kundi la wajinga na limbukeni. Nadhani unaguswa zaidi na Myahudi kuliko mtu wa Ukoo wako.Bahati nzuri sana Mungu alituumba kwa kila mtu na UTASHI wake na ndiyo maana Mungu alituwekea Maua ya Rangi tofauti tofauti na akatuumba watu Wafupi na Warefu na rangi mbalimbali na Maumbile tofauti. Sasa wewe Mmatumbi mwenzangu unataka wote tuwe wafupi hutaki kabisa warefu wawepo wakati hukuwaumba wewe!!!. Na ulivyo Mjinga na Mpumbavu unataka na mimi niandike mambo ya NGONO unayoyataka wewe. Huo ni ujinga na Upumbavu. huwezi kunipangia cha kuandika na siwezi kukupangia cha kuandika.. Tumia akili yako vizuri!!
Piga kichwani 😂😂🫵Hivi hauna jambo lolote linalohusu jamii yako au taifa lako au bara lako ukatuhabarisha. Yaani mpo very proud na kuyatukuza mataifa ambayo hata hamna mfanano nayo kwa lolote. Huwezi kuta Mchina akiposti hivi kama wewe Mnazareti wa Mpiji Magoe
Mfano wale wavaa madela.........kutwa kwenye magauni ..........sijui yanajionaje??Upumbavu uliotangulizwa kwa dini siku ukiondoka vichwani mwa watu Dunia itakuwa peace sana!
Ukichunguza sana kuna uwezekano mkubwa wewe ni Mwafrika na ni Mmatumbi mwenzangu tu harafu eti linajidai kuongea kidhungu “Poor African” acha ujinga wako Tumia vizuri akili uliyopewa na Mungu!!Wewe upo kundi la wajinga na limbukeni. Nadhani unaguswa zaidi na Myahudi kuliko mtu wa Ukoo wako.
Na bahati mbaya wajinga mko wengi sana Tz
Poor African
Pole sana kijana wangu Naona unaumia sana hasa kwenye Post zangu kuhusu Magaidi. Kwa taarifa yako tu habari kama hizi nitakuwa nazileta kila siku nikizipata ili uumie sana na ikibidi ukachukue kamba ujinyonge ufe kabisa maana huna faida yoyote kwa jamii.Sasa hiyo post kwamba vifaru vya Israel 🇮🇱 vikivinjari huko wewe na yeye vinawasaidia nini .
Tukubali tu hii ngozi yetu TUNA UJINGA MWINGI SANA.
Marekani hawezi kuposti jambo lolote la nchi yako labda Kuwe na Kipindupindu, Israel naye hawezi kuposti jambo lolote linalokuhusu wewe Palesho.
Mimi ni Mkristo lakini akili yangu haijatekwa kijinga kama wengine nyie ambao hata Myahudi akinya kwenye sahani mnaona ni Baraka kwenu