Majeshi ya Israel yanaendelea kuharibu mahandaki huko Gaza

Majeshi ya Israel yanaendelea kuharibu mahandaki huko Gaza

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Majeshi ya Israel yaendelea kuyaharibu mahandaki yanayotumiwa na magaidi wa Hamas huko Gaza. Hapo chini inaonekana handaki lenie zaidi ya kilomita moja likiangamizwa kwa ustami mkubwa na majeshi ya Israel




 
Kuua watoto hakuna uhusiano na ugaidi
Yep! Kuusambaratisha mfumo na kuharibu mahandaki ya Magaidi HAMAS ni muhimu sana isipokuwa kuwaweka kwa makusudi watoto maeneo hatarishi ni zaidi ya Ugaidi. Ni tendo la ugaidi kuwatumia watoto kama ngao dhidi ya adui vitani.
 
Majeshi ya Israel yaendelea kuyaharibu mahandaki yanayotumiwa na magaidi wa Hamas huko Gaza. Hapo chini inaonekana handaki lenie zaidi ya kilomita moja likiangamizwa kwa ustami mkubwa na majeshi ya Israel

View attachment 3303580


View attachment 3303582
Wanachokitaka hasa hawa Waislamu hiki hapa. Uzuri mtu anayeongozwa na Shetani hawezi kujificha kikamilifu uovu wake
 
Jana kinewaramba 9 chali


🚨🇮🇱🇵🇸🇵🇸 Al-Qassam Brigades:

“We targeted a Merkava IV tank and a D9 military bulldozer with two Al-Yassin 105 RPG's, setting them on fire (thus destroying them) in the Jabal al-Surani area, east of the al-Tuffah neighborhood, east of Gaza City.”
 
Back
Top Bottom