Majeshi ya Israel yanakamata maeneo huko Gaza bila upinzani wowote na kuweka bendera ya nchi yao

Majeshi ya Israel yanakamata maeneo huko Gaza bila upinzani wowote na kuweka bendera ya nchi yao

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Baada ya majeshi ya Israel kuingia tena Gaza sasa hivi yameweza kushikilia maeneo mbalimbali bila upinzani wowote kutoka kwa wale vibaka waliokuwa wanavaa Combat kipindi cha ubadirishanaji wa wafungwa. Cha kushangaza Toka vita vianze hakuna hata mmoja anayeonekana kuvaa Combat. Wote wamezivua kuonyesha utii kwa majeshi ya Israel

IMG_2017.jpeg
 
Baada ya majeshi ya Israel kuingia tena Gaza sasa hivi yameweza kushikilia maeneo mbalimbali bila upinzani wowote kutoka kwa wale vibaka waliokuwa wanavaa Combat kipindi cha ubadirishanaji wa wafungwa. Cha kushangaza Toka vita vianze hakuna hata mmoja anayeonekana kuvaa Combat. Wote wamezivua kuonyesha utai kwa majeshi ya Israel

View attachment 3280074
Webabu @webaby hali ni ngumu
 
Back
Top Bottom