Webabu @webaby hali ni ngumuBaada ya majeshi ya Israel kuingia tena Gaza sasa hivi yameweza kushikilia maeneo mbalimbali bila upinzani wowote kutoka kwa wale vibaka waliokuwa wanavaa Combat kipindi cha ubadirishanaji wa wafungwa. Cha kushangaza Toka vita vianze hakuna hata mmoja anayeonekana kuvaa Combat. Wote wamezivua kuonyesha utai kwa majeshi ya Israel
View attachment 3280074
Ogopa sana DINI inayo angalia situations ilivo badala ya maandiko yao. Imagine hadi kitabu chao wenyewe, wanapingana nacho.Myaudi amerudi kwake, according to Quran inawatambua wayaudi hapo ndo kwao.
Naam, nambie ndugu yangu
UnaotaWatanyooka tu
ChildishSafari hii mtanyooka tu!!