Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 3,861
- 9,909
Mademu wa kipalestine hawawez kuolewa na machogo ya tanganyikaLuteeni mademu wa ki palestina ila sio watoto wa kiume hatuwataki magaidi
Hata kama ni mimi isee ningetafuta sehemu ya kwenda ambayo familia yangubitaishi kwa amani huko hii dunia ni kubwa mno na bado kuna sehemu nyingi tu hata binadamu ajawahi kuishi..Baada ya majeshi ya Israel kuingia tena Gaza sasa hivi yameweza kushikilia maeneo mbalimbali bila upinzani wowote kutoka kwa wale vibaka waliokuwa wanavaa Combat kipindi cha ubadirishanaji wa wafungwa. Cha kushangaza Toka vita vianze hakuna hata mmoja anayeonekana kuvaa Combat. Wote wamezivua kuonyesha utii kwa majeshi ya Israel
View attachment 3280074
waende na Iran tujue nguvu zao au wao uwezo wao kwa Wapalestina tu waliowaeka jela ata msosi upite kwa idhini yao Israel!!!!!Baada ya majeshi ya Israel kuingia tena Gaza sasa hivi yameweza kushikilia maeneo mbalimbali bila upinzani wowote kutoka kwa wale vibaka waliokuwa wanavaa Combat kipindi cha ubadirishanaji wa wafungwa. Cha kushangaza Toka vita vianze hakuna hata mmoja anayeonekana kuvaa Combat. Wote wamezivua kuonyesha utii kwa majeshi ya Israel
View attachment 3280074
Iran mwenyewe alituahidi kuna Operation The Promise-3 lakini baada ya kipigo cha Oct,2024 kaufyata hana hamu tena wala haongelei tena Operation hiyo!!!waende na Iran tujue nguvu zao au wao uwezo wao kwa Wapalestina tu waliowaeka jela ata msosi upite kwa idhini yao Israel!!!!!
anaajipigia tu apendavyo kwa iyo kwa tuseme Israel ananguvu za kupambana na Dunia!!!!
Au usemi mmefuta kwasasa mana tunaona anapandisha Bendera kibabe taifa teule oyeeee jehova oyee!!!!!!!!!
Marekani akishirikiana na Israel dhidi ya kikundi cha wanamgambo ... Sio jeshi kikundi cha wanamgambo unategemea niniBaada ya majeshi ya Israel kuingia tena Gaza sasa hivi yameweza kushikilia maeneo mbalimbali bila upinzani wowote kutoka kwa wale vibaka waliokuwa wanavaa Combat kipindi cha ubadirishanaji wa wafungwa. Cha kushangaza Toka vita vianze hakuna hata mmoja anayeonekana kuvaa Combat. Wote wamezivua kuonyesha utii kwa majeshi ya Israel
View attachment 3280074
Tatizo nyie ni legelege ivo watatutaka sisi wanaume mashineMademu wa kipalestine hawawez kuolewa na machogo ya tanganyika
Tutawaoa sie vichwa flat labda kidogo na ndugu zetu wa kilwa pangani na kibiti π
Wanazaa hao, utafikiri mashine za kutotolea vifarangaLuteeni mademu wa ki palestina ila sio watoto wa kiume hatuwataki magaidi
ππ Sasaivi wagambo wa hamas wamegeuka wanawake na watoto subiri muda sio mrefu watajitokeza na hijabu na pampasBaada ya majeshi ya Israel kuingia tena Gaza sasa hivi yameweza kushikilia maeneo mbalimbali bila upinzani wowote kutoka kwa wale vibaka waliokuwa wanavaa Combat kipindi cha ubadirishanaji wa wafungwa. Cha kushangaza Toka vita vianze hakuna hata mmoja anayeonekana kuvaa Combat. Wote wamezivua kuonyesha utii kwa majeshi ya Israel
View attachment 3280074
Ukizaa na Mpalestina unakuwa umekipa kizazi chako laana ya mileleLuteeni mademu wa ki palestina ila sio watoto wa kiume hatuwataki magaidi
Mara ya mwisho umewasikia Hezbollah lini, Assad yuko wapi?Marekani akishirikiana na Israel dhidi ya kikundi cha wanamgambo ... Sio jeshi kikundi cha wanamgambo unategemea nini
Sahihisho: Israel ina kikundi Cha Wanamgambo haina JeshiBaada ya majeshi ya Israel kuingia tena Gaza sasa hivi yameweza kushikilia maeneo mbalimbali bila upinzani wowote kutoka kwa wale vibaka waliokuwa wanavaa Combat kipindi cha ubadirishanaji wa wafungwa. Cha kushangaza Toka vita vianze hakuna hata mmoja anayeonekana kuvaa Combat. Wote wamezivua kuonyesha utii kwa majeshi ya Israel
View attachment 3280074
ππ1oo% ya viongozi wa Gaza ni graduate wa Islamic College. hawajui elimu dunia wala nini maana ya inflation, devaluation wala economic theory.wanataka kuiondoa israel ili Jerusalem patawaliwe na sharia law! waacheni na ndoto yao ya mayai kucheza DISCO!
Mimi kuna hawa SOUTH AFRICA yaani sitaki hata kuwasikia na sikujua kama jamaa ni wapumbavu vile badala ya kuwaza watakuaje kiuchumi wao kama weusi baada ya kuupigania uhuru wao na kuacha kuwategemea makaburu waliopo wao kututwa kujipendekeza kwa magaidi wanaowaona kama mavi vileNchi zinazowaunga mkono palestina hazifiki hata robo fainali kombe la dunia. Brazil kaanza kuunga mkono mpalestina, chunguza anavyopoteza mashabiki world cup hata mimi mwenyewe ninawachukia sana soka lao na nimejitoa kuishabikia tangia siku Edson arantes afariki dunia.