Majeshi ya Israel yatoa amri ya watu kuondoka huko Dahiya,Beirut,Lebanon

Majeshi ya Israel yatoa amri ya watu kuondoka huko Dahiya,Beirut,Lebanon

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
IDF imetangaza kwa watu nchini Lebanon kuhama majengo fulani huko Beirut ambayo yatashambuliwa na Drone kutoka angani ambazo zinazunguka juu ya Beirut.

Binafsi Siwezi kuvumilia tunapomwonya adui yetu kabla ya kumshambulia. Wajinga gani wanafanya maamuzi haya katika jeshi. Je, hawajifunzi chochote baada ya kufanya itifaki hii ya kijinga kwa miaka mingi ambayo haitusaidii hata kidogo? Alisikika askari mmoja akilaumu IDF kutoa taarifa kwa maadui zake pending wanapotaka kufanya shambulio kubwa!!
 

Attachments

  • WhatsApp Video 2025-04-27 at 5.18.55 PM (1).mp4
    219.8 KB
  • beirut-bombing.mp4
    2.7 MB
Hakika mtoa roho ni muungwana MNO.haya sepeni.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Nadhani hizi info Katia raisi wao maana alishawaambia Hezbollah wasalimishe silaha zao zote wakakataa so dawa no kumtonya tu Netanyahu job done. Na kunakuwa hamna internal conflicts akili nzuri sana.
 
Back
Top Bottom