Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Majeshi ya Israel yametoa amri ya watu wote kuondoka huko RAFAH kabla ya majeshi hayo kuanza fagiafagi ya magaidi huko na kwa bahati nzuri watu wa h7ko wakawa wa elewa wakaanza kufungasha virago vyao kabla mambo hayajaharibika. Hayo yamejiri baada ya majeshi ya Israel kuanza mashambulizi baada ya magaidi wa Hamas kukaidi kuwaachia mateka waliowateka Oct 07,2023