Majeshi ya Israel yatoa amri ya watu wote kuondoka rafah wabaki ndege na inzi tu!!!

Si Huwa wanaambiwa wakifa wanaenda kuchukua mabikra 72.


Kwanini wasibaki kesho Israel amwage mabomu hapo wawahishwe mbinguni Kwa Allah wakajinyakulie Mabikraa saaafi 72 waanze kugegeda...


Hahaha hizi dini ni Upumbavu sana story za uongo tu
 
Hapo nimekuwekea Picha na video hata hivyo huviamini unataka mpaka Aljazeera wakuambie ndiyo uamini?. Kwa taarifa yako tu Huko Rafah hatakiwi mtu yeyote wanatakiwa wabaki Ndege na inzi tu!!
Alafu we mzee si ulikua unasimulia vita ya Kagera ukaingia mitini mazima au bussy na wajukuu muda hamna😅😅

Heshima yako mkuu
 
Eti kitaeleweka!! Wafuga midevu na Majini safari hii mtanikoma!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…