Majeshi ya Kenya na Ethiopia yatwangana risasi huko Mayole


Idiot. We are a free country. I know the concept of freedom is foreign to you, so I understand.

Magazeti na redio za lugha za mama zimeanzishwa kuwafikia Wakenya wanaoongea hizo lugha. Habari na taarifa za kitaifa na za mtaa zinawafikia kwa lugha wanazoelewa. Muziki wa lugha wanazoelewa na kadhalika.

Nchi zote zenye uhuru wa wanahabari ziko na redio na TV za lugha mbali mbali.
South Africa utapata redio za Zulu, Xhosa, Tswana na kadhalika.
US utapata redio za Kifaransa, Kilatino, Kigerumani, Kifilipino na kadhalika.

Tanzania utapata tu redio za SiSiemu.
 
Tanzania ni jamvi lao wanapita sana
 
Haujadanganya buda keep on telling the truth.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…