Majeshi ya nchi nyingine za kizalendo yaungane na JWTZ kuzuia vibaraka wa Wazungu M23 wasiuteke Mji wa Goma

Lipo ila linazidiwa na hao vibaka na pia Lina watu waliochomekwa wengi humo.kwa maslahi ya Mabeberu
Kwani hayo majeshi ya nje yatakayopelekwa hayawezi kuzidiwa na hao vibaka? Nini kitazuia na yenyewe kuchomekewa watu au kuhongwa kwa maslahi ya mabeberu??
 
Kwa nini wasitumie hizo rasilimali zao kulipa wanajeshi wao wenyewe badala ya kuzipa nchi nyingine?
Wanajeshi hawana shida ya malipo Bali mapandikizi wanalitafuna.
 
Kwani hayo majeshi ya nje yatakayopelekwa hayawezi kuzidiwa na hao vibaka? Nini kitazuia na yenyewe kuchomekewa watu au kuhongwa kwa maslahi ya mabeberu??
Hawawezi Kwa sababu tutakuwa tumeunganisha Rasilimali watu,Fedha na vifaa nk
 
Tanzania itapata wapi fedha za kwenda kupigana vita DRC??
Ungesoma mada yangu ungeelewa.Nimeshabainisha kwamba hata Sasa tuko.huko.ila.bila usaidizi wa Nchi zingine za Kizalendo hakuna wa kuwazuia hao vibaraka wa M23 maana wako equiped na Rasilimali zote.
 
Ungesoma mada yangu ungeelewa.Nimeshabainisha kwamba hata Sasa tuko.huko.ila.bila usaidizi wa Nchi zingine za Kizalendo hakuna wa kuwazuia hao vibaraka wa M23 maana wako equiped na Rasilimali zote.
Usaidizi wa nchi zipi nyingine za Kizalendo??
 
Ungesoma mada yangu ungeelewa.Nimeshabainisha kwamba hata Sasa tuko.huko.ila.bila usaidizi wa Nchi zingine za Kizalendo hakuna wa kuwazuia hao vibaraka wa M23 maana wako equiped na Rasilimali zote.
Rasilimali zote za DRC ziko Mashariki ya nchi tu??
 
Tanzania
South Africa
Namibia
Burkinabe
Algeria
Zimbabwe
Burundi
Ethiopia nk
Kwa nini Tanzania, South Africa, Zimbabwe na Namibia hazikuwa wazalendo kwenda kupigana na uasi wa magaidi Msumbiji kwa jirani yao wa karibu badala yake Rwanda ndio ilienda kusaidiana nao kupigana hivyo vita?

Kama Ethiopia imeshindwa kusaidia kuleta amani kwa jirani zake Somalia na Sudan Kusini inaweza vipi kusaidia amani huko DRC mbali ??

South Africa sio nchi ya Mabeberu??

Burkinabe itaweza vipi kutoa msaada Rwanda wakati kwake kwenyewe nusu ya nchi hadhibitiki kwa sababu ya ugaidi?? Maelfu ya shule na Watoto zaidi ya laki tatu wa Burkina Faso hawako shuleni kwa sababu ya makundi ya ugaidi.
 
Pale aliombwa kibaraka Rwanda,utajipeleka Ili iwaje?
 
Pale aliombwa kibaraka Rwanda,utajipeleka Ili iwaje?
Kwa nini hawakuomba Tanzania, Namibia, South Africa na Zimbabwe wakati FRELIMO ni rafiki wa kutupwa wa CCM, SWAPO, ANC na ZANU-PF??
 
Acha upuuzi mkuu,kama hamjitambui ulitaka waendelee kukamuliwa ushuru mkubwa wakati kuna njia mbadala?
 
70% of it ,ndio maana huwaoni waasi Mashariki.
Hujui chochote, Wachina wamezagaa DRC wana migodi ya Cobalt, dhahabu n.k kila kona, wanavuna magogo pande zote za nchi na ndio wanaongoza kuchota rasilimali za hiyo nchi kwa kibali cha serikali ya DRC na njia haramu pia.
 
Kwa nini hawakuomba Tanzania, Namibia, South Africa na Zimbabwe wakati FRELIMO ni rafiki wa kutupwa wa CCM, SWAPO, ANC na ZANU-PF??
Kuna Baadhi ya Watanzania walihusishwa na Kukamatwa kama.magaidi huko.

Hawakuomba Kwa sababu ya vibaraka waliojaa jeshini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…