ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #21
Tanzania haiendeshi Nchi Kwa hela za hao mabwana wenu mnaowatumikia hujui unachoongeaKibaraka kuliko CCM inayoendesha nchi Kwa kutegemea hela za mabeberu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania haiendeshi Nchi Kwa hela za hao mabwana wenu mnaowatumikia hujui unachoongeaKibaraka kuliko CCM inayoendesha nchi Kwa kutegemea hela za mabeberu?
Kwani hayo majeshi ya nje yatakayopelekwa hayawezi kuzidiwa na hao vibaka? Nini kitazuia na yenyewe kuchomekewa watu au kuhongwa kwa maslahi ya mabeberu??Lipo ila linazidiwa na hao vibaka na pia Lina watu waliochomekwa wengi humo.kwa maslahi ya Mabeberu
Wanajeshi hawana shida ya malipo Bali mapandikizi wanalitafuna.Kwa nini wasitumie hizo rasilimali zao kulipa wanajeshi wao wenyewe badala ya kuzipa nchi nyingine?
Hawawezi Kwa sababu tutakuwa tumeunganisha Rasilimali watu,Fedha na vifaa nkKwani hayo majeshi ya nje yatakayopelekwa hayawezi kuzidiwa na hao vibaka? Nini kitazuia na yenyewe kuchomekewa watu au kuhongwa kwa maslahi ya mabeberu??
Nini kitazuia hayo majeshi mengine yatakayopelekwa kutokuwa na mapandikizi??Wanajeshi hawana shida ya malipo Bali mapandikizi wanalitafuna.
Kwa sababu yatatokea kwenye Nchi za Kizalendo ,huku hatuna hao mapandikizi.Nini kitazuia hayo majeshi mengine yatakayopelekwa kutokuwa na mapandikizi??
Tanzania itapata wapi fedha za kwenda kupigana vita DRC??Hawawezi Kwa sababu tutakuwa tumeunganisha Rasilimali watu,Fedha na vifaa nk
Mfano wa nchi za Kizalendo ni zipi? Nitajie tatuKwa sababu yatatokea kwenye Nchi za Kizalendo ,huku hatuna hao wapuuzi
Ungesoma mada yangu ungeelewa.Nimeshabainisha kwamba hata Sasa tuko.huko.ila.bila usaidizi wa Nchi zingine za Kizalendo hakuna wa kuwazuia hao vibaraka wa M23 maana wako equiped na Rasilimali zote.Tanzania itapata wapi fedha za kwenda kupigana vita DRC??
Usaidizi wa nchi zipi nyingine za Kizalendo??Ungesoma mada yangu ungeelewa.Nimeshabainisha kwamba hata Sasa tuko.huko.ila.bila usaidizi wa Nchi zingine za Kizalendo hakuna wa kuwazuia hao vibaraka wa M23 maana wako equiped na Rasilimali zote.
TanzaniaMfano wa nchi za Kizalendo ni zipi? Nitajie tatu
Rejea post Yako nimejibuUsaidizi wa nchi zipi nyingine za Kizalendo??
Rasilimali zote za DRC ziko Mashariki ya nchi tu??Ungesoma mada yangu ungeelewa.Nimeshabainisha kwamba hata Sasa tuko.huko.ila.bila usaidizi wa Nchi zingine za Kizalendo hakuna wa kuwazuia hao vibaraka wa M23 maana wako equiped na Rasilimali zote.
70% of it ,ndio maana huwaoni waasi Mashariki.Rasilimali zote za DRC ziko Mashariki ya nchi tu??
Kwa nini Tanzania, South Africa, Zimbabwe na Namibia hazikuwa wazalendo kwenda kupigana na uasi wa magaidi Msumbiji kwa jirani yao wa karibu badala yake Rwanda ndio ilienda kusaidiana nao kupigana hivyo vita?Tanzania
South Africa
Namibia
Burkinabe
Algeria
Zimbabwe
Burundi
Ethiopia nk
Pale aliombwa kibaraka Rwanda,utajipeleka Ili iwaje?Kwa nini Tanzania, South Africa, Zimbabwe na Namibia hazikuwa wazalendo kwenda kupigana na uasi wa magaidi Msumbiji kwa jirani yao wa karibu badala yake Rwanda ndio ilienda kusaidiana nao kupigana hivyo vita?
Kama Ethiopia imeshindwa kusaidia kuleta amani kwa jirani zake Somalia na Sudan Kusini inaweza vipi kusaidia amani huko DRC mbali ??
South Africa sio nchi ya Mabeberu??
Kwa nini hawakuomba Tanzania, Namibia, South Africa na Zimbabwe wakati FRELIMO ni rafiki wa kutupwa wa CCM, SWAPO, ANC na ZANU-PF??Pale aliombwa kibaraka Rwanda,utajipeleka Ili iwaje?
Inakera sana kuona Baadhi ya Nchi za Kiafrika zimejikausha na kuisusa DRC Kwa kuiacha inagukie kwenye mikono ya Jeshi la Vibaraka wa Wazungu M23 Kupitia Rwanda.
Ni kama Wameisusia Tanzania peke yake kiasi kwamba inaweza ikawa ngumu Kwa JWTZ Kuzuia hao Vibaka kuuteka Mji wa Goma ikizingatiwa kwamba watakuwa wanapewa vifaa vya Kisasa ,kusaidia inteligensia nk na Mabeberu.
Wananchi wa DRC wa Imani na JWTZ lakini Sina hakika kama wao yao wataweza kuwazuia M23 ikizingatiwa kwamba JWTZ Iko huko kulinda amnani na sio mstari wa mbele wa Vita,wanatakiwa kuwa mstari wa mbele NJ Jeshi la DRC lakini ndio Hilo limezidiwa.Inatia sana hasira.👇👇
View: https://youtu.be/Fs7jEBnCRJU?feature=shared
My Take
Nchi zingine za Kizalendo Ziungane kuzuia huu uhuni wa Rwanda.
Ikumbukwe Rwanda Kwa Sasa imepunguza sana biashara na Tanzania na bidhaa zao nyingi wanapitishia Bandari ya Mombasa.
View: https://youtu.be/5JU5SBQYabI?feature=shared
Hujui chochote, Wachina wamezagaa DRC wana migodi ya Cobalt, dhahabu n.k kila kona, wanavuna magogo pande zote za nchi na ndio wanaongoza kuchota rasilimali za hiyo nchi kwa kibali cha serikali ya DRC na njia haramu pia.70% of it ,ndio maana huwaoni waasi Mashariki.
Kuna Baadhi ya Watanzania walihusishwa na Kukamatwa kama.magaidi huko.Kwa nini hawakuomba Tanzania, Namibia, South Africa na Zimbabwe wakati FRELIMO ni rafiki wa kutupwa wa CCM, SWAPO, ANC na ZANU-PF??