Majeshi ya nchi nyingine za kizalendo yaungane na JWTZ kuzuia vibaraka wa Wazungu M23 wasiuteke Mji wa Goma

Majeshi ya nchi nyingine za kizalendo yaungane na JWTZ kuzuia vibaraka wa Wazungu M23 wasiuteke Mji wa Goma

DRC wana jeshi la nchi?
Ndio,na lina nafasi ya 8 Africa.
Jeshi la Congo ni FARDC.
FARDC jeshi la Congo
Makundi ya wanamgambo zaidi ya 50 walijiunga na jeshi la Congo
Kuna kundi jingine linaitwa Wazalendo
Wazungu kutoka Romania (white mercenaries)
SADC forces
Burundi forces
Ya ni mechoka kuhesabu.
 
Kwa nini Tanzania, South Africa, Zimbabwe na Namibia hazikuwa wazalendo kwenda kupigana na uasi wa magaidi Msumbiji kwa jirani yao wa karibu badala yake Rwanda ndio iliend
Eeenh we jamaa hufatilii haya mambo jwtz haipo msumbiji?
 
Tayali
Hiyo habari ya MONUSCO hapana Kwa sababu wamekuwepo hapo hakuna Cha maana wamefanya.

Swala.la.kuweka wanajeshi wa kulinda kinachoitwa amani ila hawawezi kwenda msituni kuwafurusha waasi Haina maana.

Rwanda inadai hao wa Tutsi wa huko Mashariki mwa DRC sio raia wake ila wanalazimishwa kuwa WanyaRwanda so inajihami Kwa kuhakikisha vita havivuki Rwanda.

Kwa staili hii kuna siku Nchi Mpya itapatikana hapo na ndio utakuwa Mwanzo wa DRC yote kusambaratika.

Sioni Nchi tofauti na Tanzania ya kusaidia.

Binafsi napendelea DRC ikubali kupata usaidizi wa Nchi za Kigeni Kwa makubaliano ya malipo ya Rasilimali maana hawana hela ila tuu Waasi wafurushwe wote Hadi kuweka na usalama wa kutosha na Jeshi lao liwe na uwezo wa kudhibiti Kila kitu.

Tayali nchi mpya imepatikana,M23 imeshachukua Goma. Wameteseka kwa myaka hawa jamaa.
 

Attachments

  • C5vHebI6xHwFBK7t.mp4
    1.4 MB
  • 20250123_195809.jpg
    20250123_195809.jpg
    70.8 KB · Views: 1
  • 20250123_081921.jpg
    20250123_081921.jpg
    161.5 KB · Views: 2
Bandari gani zaidi ya Dar Es Salaam inayoweza kuwa mbadala kwa unafuu kwa eneo lolote la DRC? Kama ipo hiyo bandari basi ujue kinachoizuia DRC kuitumia hiyo bandari sasa hivi ni vita au utawala mbovu na siku DRC ikitulia ndio tutaipoteza kabisa kama mteja wa bandari ya Dar.
Drc ni kubwa assume Inagawanywa, kama Rwanda wanatumia Bandari ya Msa kipi kitazuia hio nchi mpya ya Drc iliopakana na Rwanda kutumia Bandari ya Mombasa?
 
Kuna nchi afrika ambayo sio chawa wa mabeberu?

M23 wachukue goma na miji mingine,wajitangazie nchi mpya ya kivu.

Drc kongo ni failed state acha wenye nguvu waigawane.
bILA SHAKA WEWE NI MNYARWANDA WA KABILA LA KITUSI
 
Drc ni kubwa assume Inagawanywa, kama Rwanda wanatumia Bandari ya Msa kipi kitazuia hio nchi mpya ya Drc iliopakana na Rwanda kutumia Bandari ya Mombasa?
Hawawezi kutumia mzigo wote huko,lazima waje Tanzania
 
Back
Top Bottom