Ndio,na lina nafasi ya 8 Africa.DRC wana jeshi la nchi?
Eeenh we jamaa hufatilii haya mambo jwtz haipo msumbiji?Kwa nini Tanzania, South Africa, Zimbabwe na Namibia hazikuwa wazalendo kwenda kupigana na uasi wa magaidi Msumbiji kwa jirani yao wa karibu badala yake Rwanda ndio iliend
Hiyo habari ya MONUSCO hapana Kwa sababu wamekuwepo hapo hakuna Cha maana wamefanya.
Swala.la.kuweka wanajeshi wa kulinda kinachoitwa amani ila hawawezi kwenda msituni kuwafurusha waasi Haina maana.
Rwanda inadai hao wa Tutsi wa huko Mashariki mwa DRC sio raia wake ila wanalazimishwa kuwa WanyaRwanda so inajihami Kwa kuhakikisha vita havivuki Rwanda.
Kwa staili hii kuna siku Nchi Mpya itapatikana hapo na ndio utakuwa Mwanzo wa DRC yote kusambaratika.
Sioni Nchi tofauti na Tanzania ya kusaidia.
Binafsi napendelea DRC ikubali kupata usaidizi wa Nchi za Kigeni Kwa makubaliano ya malipo ya Rasilimali maana hawana hela ila tuu Waasi wafurushwe wote Hadi kuweka na usalama wa kutosha na Jeshi lao liwe na uwezo wa kudhibiti Kila kitu.
Drc ni kubwa assume Inagawanywa, kama Rwanda wanatumia Bandari ya Msa kipi kitazuia hio nchi mpya ya Drc iliopakana na Rwanda kutumia Bandari ya Mombasa?Bandari gani zaidi ya Dar Es Salaam inayoweza kuwa mbadala kwa unafuu kwa eneo lolote la DRC? Kama ipo hiyo bandari basi ujue kinachoizuia DRC kuitumia hiyo bandari sasa hivi ni vita au utawala mbovu na siku DRC ikitulia ndio tutaipoteza kabisa kama mteja wa bandari ya Dar.
bILA SHAKA WEWE NI MNYARWANDA WA KABILA LA KITUSIKuna nchi afrika ambayo sio chawa wa mabeberu?
M23 wachukue goma na miji mingine,wajitangazie nchi mpya ya kivu.
Drc kongo ni failed state acha wenye nguvu waigawane.
Kama wameteka Jiji kubwa kama hili hata Mimi naunga mkono iwe Nchi Mpya Ili Sasa maendeleo yake maana DRC Wameshindwa kujitawala.Tayali
Tayali nchi mpya imepatikana,M23 imeshachukua Goma. Wameteseka kwa myaka hawa jamaa.
Hawawezi kutumia mzigo wote huko,lazima waje TanzaniaDrc ni kubwa assume Inagawanywa, kama Rwanda wanatumia Bandari ya Msa kipi kitazuia hio nchi mpya ya Drc iliopakana na Rwanda kutumia Bandari ya Mombasa?