Majeshi ya Somalia yavuka mpaka na kuishambulia Kenya, serikali ya Kenya yalalamika

Majeshi ya Somalia yavuka mpaka na kuishambulia Kenya, serikali ya Kenya yalalamika

Mjinga ni wewe ambaye unaruka ruka kwenye masuala ambayo huna ufahamu kuyahusu. Ras Kamboni Brigade ya rais Madobe wa Jubaland ni moja ya militia ambazo ziliunganishwa ndio zikaitwa SNA(Somalia National Army). SNA walipata mafunzo kutoka kwa nchi zote za AMISOM, hadi Burundi na Djibouti pia. Hivi vita vya Somalia na Jubbaland ni vya mbwa kala mbwa. Ras Kamboni Brigade wa Jubaland walijiondoa kwa SNA baada ya utata wa uchaguzi uliopita kule Jubaland na sasa wanajiita JSF(Jubaland Security Forces) na ndio hawa hawa ambao wanapigana na 'serikali kuu', yaani Somalia. Somalia Is a Country Without an Army
Then u have to say KDF trained Jubaland army to destabilize Somalia!
 
ER-44dgUEAAPVpQ.jpeg

Boss this is the aftermath of kdf air raid on March 1 2020,deep inside Somalia.
In an all out war Somalia will be on the receiving end .
 
Yani kila kukicha anzidi kuwa zero brain tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, sasa mumeanza kujua kwamba, zile sifa zenu za kijinga kujifanya mpo juu zilikua ni ujinga, nchi yenu inachezewa na nchi ndogo sana nadhahifu, jeshi la Somalia ni jeshi kweli la kuivamia Kenya na mshindwe kuwadhibiti badala yake mnalialia tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
PK nasikia ana engineer sana haya mambo
 
View attachment 1377653
Boss this is the aftermath of kdf air raid on March 1 2020,deep inside Somalia.
In an all out war Somalia will be on the receiving end .
Wapi, jana tu majeshi ya Somalia yamevuka na kushambulia vijiji vya mpakani sehemu ya Mandera, kumbuka wanasaidiwa na Ethiopia, Kenya can't match with Ethiopia, hence Kenya Small be on receiving hand, no doubt.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha kupoteza watu na propaganda za kijinga .SNA hawakuvuka mpaka their point of contact was Bula Hawo (Border Point -1) (Somalia ) but the effect of their fire could be felt in Mandera that's why kdf shelled them .
Infact SNA lost the fight if we were to count the losses.
2 Jubaland Security Forces (JSF) Troops KIA while 7 SNA Troops KIA .
Sikujua that KDF was involved
 
Wapi, jana tu majeshi ya Somalia yamevuka na kushambulia vijiji vya mpakani sehemu ya Mandera, kumbuka wanasaidiwa na Ethiopia, Kenya can't match with Ethiopia, hence Kenya Small be on receiving hand, no doubt.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha propaganda za peni mbili. SNA haisaidiwi na Ethiopia. Unapenda kueneza uongo sana.
 
Wacha propaganda za peni mbili. SNA haisaidiwi na Ethiopia. Unapenda kueneza uongo sana.
Jaribuni kuwagusa ndio mtajua wapi wanapata kiburi cha kuvuka mpakani na kushambulia ndani ya Kenya. Kenya mnaunga mkono serikali ya Jubaland, Wakati serikali ya Mogadishu inaungwa mkono na Ethiopia, au hata hiyo unapinga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom