Majeshi ya Somalia yavuka mpaka na kuishambulia Kenya, serikali ya Kenya yalalamika

Majeshi ya Somalia yavuka mpaka na kuishambulia Kenya, serikali ya Kenya yalalamika

Tunangoja mtupiku tangu 70s [emoji16]
Mtasubiri sana ,mnatusubiri kumbe wenzenu tulisha watangulia mbele ndiyo maana amtuoni Kenya tulisha ipita tangu 2010 cha kufanya kwa Kenya ni kutukimbiza msipoteze muda kutusubiri maana hamto tuona tupo mbele yenu siku nyingi sana kama kama hamuamini subirini mabwana zenu wazungu watakujulisheni siku si nyingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais wa Somaliaamempigia Simu Rais wa Kenya kuomba msamaha
 
Mtasubiri sana ,mnatusubiri kumbe wenzenu tulisha watangulia mbele ndiyo maana amtuoni Kenya tulisha ipita tangu 2010 cha kufanya kwa Kenya ni kutukimbiza msipoteze muda kutusubiri maana hamto tuona tupo mbele yenu siku nyingi sana kama kama hamuamini subirini mabwana zenu wazungu watakujulisheni siku si nyingi

Sent using Jamii Forums mobile app
2020 GDP Kenya $102b
2020 GDP LDC Tz $60b
Mtatupiku tu bro😂
 
Nimeandika mara nyingi hapa hapa JF kuwa Kenya imechezea kiwembe kujiingiza kwenye Mapambano na Alshabab. Wasomali ukipigana na mmoja hata kama wana ugomvi wao kwa wao kwanza wanaacha ugomvi wao wote wanaanza kupambana na wewe wakimalizana na wewe ndiyo wanarudia ugomvi wao.

Kabla hawajamalizana na Alshabab wameanzishiwa lingine na sasa wangoje Wasomali waliomo ndani ya Kenya ambao ni wazaliwa na raia halali kabisa wa Kenya kuanza na wao kuwashambulia humo humo ndani.

Nawaonea huruma Sana Kenya kuingizwa mkenge na wazungu.

Ngoma hiyo ya Wasomali ni nzito sana si ya kitoto.

Kenya hawana njia nyingine yoyote ya kusalimika na Wasomali isipokuwa kusalimu amri na kukaa nao chini na hukubali kuwalipa Wasomali gharama na hasara zao zote ikiwamo psmoja na kuacha kuiba mafuta ya Somalia na kuondoka kwenye ardhi ya Somalia.

Wasalimu amri tu kama walivyosalimu amri mabwana zao wa Kimarekani Kwa Taliban.

Huu ni ushauri wa bure.
 
Back
Top Bottom