Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Acha wakaziwe sasa, maana huyo mchekeshaji wao alikuwa anataka kujisahau na kuna kitu kinaandaliwa kitu cha kuja kufunika na kuacha midomo wazi acha mshono uwaingieUkraine yalia kilio cha kusaga meno...yasema majeshi ya Urusi yamenyeshelezea mvua za moto wa mizinga na maroketi kwenye wilaya ya Nikopol pamoja na maeneo ya Nikopol, Marhanets, Chervonohryhorivka, na Myrove.
Habari hii inaripotiwa na serikali ya Ukraine yenyeweee[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28]
======
View attachment 2368729
View attachment 2368736
Pole Mkuu...... hawana jipya hao warusi na fashisti wao!
Dadaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]... hawana jipya hao warusi na fashisti wao!
Kipigo kipo palepele hata wakilia machozi ya damu milipuko itaendelea kuwachimbua kwenye mapango [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji1787]Ukraine yalia kilio cha kusaga meno...yasema majeshi ya Urusi yamenyeshelezea mvua za moto wa mizinga na maroketi kwenye wilaya ya Nikopol pamoja na maeneo ya Nikopol, Marhanets, Chervonohryhorivka, na Myrove.
Habari hii inaripotiwa na serikali ya Ukraine yenyeweee[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28]
======
View attachment 2368729
View attachment 2368736
Bora umerudi mkuu, manake MK254 alikuwa anatuendesha mno yaan
Yaan daah, aisee we noma. Bora jamaa akufunike funike kidogoHa ha ha!! Yalianzia Crimea yataishia Crimea, na bado.... umeona hii huku Warusi waanza kuchoma maiti za wanajeshi wao kwenye tanuri
Nimesikia US anadahi ataingilia moja kwa moja endapo Ukraine atashambuliwa na siraha za maangamizi!Mrusi alivyorudisha majeshi yake nyuma walifurahia wakajua jamaa kaufyata kumbe ni mbinu tu, sahivi hapeleki majeshi hadi ahakikishe makombora yanasafisha kwanza maeneo ya wanajeshi wake kwenda.......tena haya maeneo ambayo yatajiunga na urusi ukraine akishambulia tu jamaa nae atapata sababu ya kuwatandika kama hana akili nzuri, na yeye kwa sasa lazima atajibu kwa raia kama anavyofanya ukraine akishambulia, mwanzoni alikua anatafuta wanajeshi tu wa ukraine ndo maana alikua hapigi ovyo ili kuepusha raia....ila raundi hii watu watachakaa......hizi referendum mrusi anatafuta tu sababu ya kufanya yake
Hahaha π ππ€£Bora umerudi mkuu, manake MK254 alikuwa anatuendesha mno yaan