Majeshi ya Urusi yaishambulia Ukraine kwa mizinga usiku kucha!

Sikirimimimasikini

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2019
Posts
2,926
Reaction score
15,634
Ukraine yalia kilio cha kusaga meno...yasema majeshi ya Urusi yamenyeshelezea mvua za moto wa mizinga na maroketi kwenye wilaya ya Nikopol pamoja na maeneo ya Nikopol, Marhanets, Chervonohryhorivka, na Myrove.

Habari hii inaripotiwa na serikali ya Ukraine yenyeweee🤣🤣😂😂😅😅😅
======

SmartSelect_20220926-143649_Chrome.jpg

Screenshot_20220926-143757_Chrome.jpg
 
... hawana jipya hao warusi na fashisti wao!
 
Ukraine yalia kilio cha kusaga meno...yasema majeshi ya Urusi yamenyeshelezea mvua za moto wa mizinga na maroketi kwenye wilaya ya Nikopol pamoja na maeneo ya Nikopol, Marhanets, Chervonohryhorivka, na Myrove.

Habari hii inaripotiwa na serikali ya Ukraine yenyeweee[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28]
======

View attachment 2368729
View attachment 2368736
Acha wakaziwe sasa, maana huyo mchekeshaji wao alikuwa anataka kujisahau na kuna kitu kinaandaliwa kitu cha kuja kufunika na kuacha midomo wazi acha mshono uwaingie
 
Ukraine yalia kilio cha kusaga meno...yasema majeshi ya Urusi yamenyeshelezea mvua za moto wa mizinga na maroketi kwenye wilaya ya Nikopol pamoja na maeneo ya Nikopol, Marhanets, Chervonohryhorivka, na Myrove.

Habari hii inaripotiwa na serikali ya Ukraine yenyeweee[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28]
======

View attachment 2368729
View attachment 2368736
Kipigo kipo palepele hata wakilia machozi ya damu milipuko itaendelea kuwachimbua kwenye mapango [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji1787]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mrusi alivyorudisha majeshi yake nyuma walifurahia wakajua jamaa kaufyata kumbe ni mbinu tu, sahivi hapeleki majeshi hadi ahakikishe makombora yanasafisha kwanza maeneo ya wanajeshi wake kwenda.......tena haya maeneo ambayo yatajiunga na urusi ukraine akishambulia tu jamaa nae atapata sababu ya kuwatandika kama hana akili nzuri, na yeye kwa sasa lazima atajibu kwa raia kama anavyofanya ukraine akishambulia, mwanzoni alikua anatafuta wanajeshi tu wa ukraine ndo maana alikua hapigi ovyo ili kuepusha raia....ila raundi hii watu watachakaa......hizi referendum mrusi anatafuta tu sababu ya kufanya yake
 
Nimesikia US anadahi ataingilia moja kwa moja endapo Ukraine atashambuliwa na siraha za maangamizi!
Nahisi Sasa US ataonja radha ya Moto nyumbani kwake.
 
Back
Top Bottom