Majeshi ya Urusi yaukimbia mji wa kherson.

Majeshi ya Urusi yaukimbia mji wa kherson.

Wizara ya ulinzi ya urusi imesema majeshi yake yanajiondoa katika mji huo ili kupunguza madhara kwa vikosi vyake na kuokoa maisha ya raia wake.

urusi iliuchukua mji huo kutoka ukraine kupitia kura ya maoni mwezi uliopita ya kujitenga na ukraine.

ukiani haiitambui kura hiyo na imesema itatumia nguvu ya jeshi lake ili kutetea mipaka yake,

source:Rt
Ukrein wa mbezi oyeee!
assasins.gif


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vita inamuumiza Zele.

Ana Kesha kupigania miji yake.

Mwenzake anamuhold na kumdemilitarize polepole.

Hili liko wazi sababu Huko Moscow life goes on. But Ukraine wote wanahaha mgeni yupo ndani yao.

Siku ambazo hesabu za FSB zikihamisha mnara. Vilio vitasikika.

Russia hapigani vita kwa hofu. Just tactics.

Let’s see
Inamuumizaje na hatumii pesa zake
 
Ukiwasikia armatraaaa kimbia yaani ujue howtizer inatuma parcel hapo, hawa wa Ukraine ni hatari sana.
 
Back
Top Bottom