Majeshi ya Urusi yaukimbia mji wa kherson.

Ukrein wa mbezi oyeee!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawajajiondoa Kherson yote Mkuu
Lakini ikiwa kheson city center itaangukia mikononi mwa ukraine,hapo tafsiri ni kwamba kheson IPO chini ya udhibiti wa ukraine..,ni sawa na kuteka mji mkuu wa nchi..,ukishateka mji mkuu Ina mamlaka ya nchi Iko mikononi mwako,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Inamuumizaje na hatumii pesa zake
 
Ukiwasikia armatraaaa kimbia yaani ujue howtizer inatuma parcel hapo, hawa wa Ukraine ni hatari sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…