Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,673
TANZANIA NDIO INATOA KAMANDA MKUU WA HIYO OPERATION YA COMORO ..SIJAPATA JINA LAKE ...ILA KWA KIFUPI TANZANIA NDIO INATOA MCHANGO MKUBWA ZAIDI....KWA NINAVYOIJUA AU....SIDHANI KAMA KUNA KURUDISHIWA PESA ..HAPO.....
http://english.cri.cn/2947/2008/03/15/1461@334305.htm
Wafaransa wanasaidia transportation na logistics, role ya South Africans ni ipi?
true kuna tigers wengine wa afrika kama hao south africa,egypt,nigeria ets...kuna angola,botswana ets...hata kama hawatoi askari wangetoa pesa na vifaa....mimi sio kwamba sipendi vijana wetu wajifue..tatizo nataka kujua tunapata wapi hiyo pesa na ni kiasi gani????..tutaendelea kusaidia kupigana bila shukrani hadi lini...wakati tunapigana vita za ukombozi na vita ya kagera hadi leo hatuja recover...tunapata wapi pesa leo....
ndio maana nasisitiza anayetaka huduma za jeshi letu agharamie kila kitu,,,,..sio kodi yetu tafadhali!
I couldn't agree with you more; you are right on the money . Wanabodi we must push for constitution amendment as soon as possible . Jamani hii constitution imempa Rais madaraka makubwa sana kwa hiyo ni lazima tuyapunguze .
PM, kwa jinsi nilivyoelewa AU contact group(Libya, Senegal, South Africa, Sudan and Tanzania.) ndio wanaoshiriki kwenye hili swala la Comoro.
-Libya wanasafirisha wanajeshi wa Senegal na Sudan na logistical support.
-Senegal wanatoa wanajeshi 600
-South Africa sijui mchango wao ni hupi?
-Sudan wanatoa wanajeshi 500
-Tanzania wanatoa wanajeshi 700(Ufaranasa imejitolea kusafirisha wanajeshi wetu).
-South Africa sijui mchango wao ni hupi?
-Ufaranasa imejitolea kusafirisha wanajeshi wetu.
"Sasa basi mindhali media Tanzania imekuwa SEDATED na hakuna anayeuliza hard questions sasa nimeona sisi kama wana JF tunaweza kuuliza maswali ambayo wengi wanaogopa kuuliza"
GT, this Comoro issue is an international one. Could this sedation thing be for international media too?
Sidhani media in UZBEKISTAN watakuwa concerned sana. Ila kama ni ndugu zetu wamepelekwa kupigana vita ambayo serikali haitaki kutoa majibu au kutueleza kwa kinaga ubaga then media sould have asked some questions na zaidi kuangalia legality ya vita yenyewe
nimeuliza maswali kibao tu hapo juu na najua hakuna anayweza kutoa majibu sahihi zaidi ya serikali na kama serikali yetu imeamua kukaa kimya then sioni kwa nini wana JF wasiendelee na assumptuins & innuendos na wala sitomlaumu mtu
Philemon,
ninaamini hata kama bajeti ya ulinzi ingekuwa kubwa kwa ajili ya kununua vifaa unavyoelezea, bado ingelalamikiwa kuwa kwa nini tunajishughulisha na mambo ya kivita badala ya kuimarisha uchumi...