Ingekuwa vizuri kama nguvu kama hizi zingeelekezwa katika kuondoa umaskini na kuboresha hali ya mtanzania.
ndiyo maana na utamu wa mjadala mkuu, otherwise hili si suala la imani kama zilivyo dini...ambapo tungelazimika kuamini, kufuata na kukaa kimya.
halafu ninadhani kuna utata katika the real power ya bacar. only 300 men?. i dont think so. if Sambi didn't tell the truth about the real strength of bacar in order to convice the AU forces to take on the mission then you can see how the mission wont just be easy!.
Serikali zao zikiomba msaada AU nadhani kutakuwa na volunteers...
....kama msingi hapa ni "utamu wa mjadala"
lol
sawa mzee
hivi unayendugu jeshini au aliyeathirika na vita?
Looks like jibu umelipata....Serikali ya shirikisho la Comoro imeomba msaada wa kijeshi AU baada ya juhudi za kidiplomasia kushindikana, ama wewe ulifikiria AU wameamua tu kwenda Comoro?
mimi binafsi ishu siyo kwenda Comoro ishu kwangu ni kwamba was it only the best option available?. ndo maana nikasema kwa nini sisi watanzania tukawa msitari wa mbele kussupport mission hii badala ya kufanya kazi na wadau wengine wa AU kama vile south afrika kuzidisha pressure za kidiplomasia?, siamini kama juhudi zote zimeshindwa unless wao wenyewe walishaamua kuchukua msimamo. na bado siamini kama njia ya kijeshi ni best option kuleta democracy.
even if AU imeamua kwenda katika mission why, Tanzania?. tumepigana uganda right?, tumepigana msumbiji, tumehost majeshi ya south africa,tulienda ushelisheli, tunasema tumechangia kuzikomboa nchi hizo, sasa hivi tupo lebanon,given matatizo yetu ya kiuchumi tuliyonayo hivi sasa why tuwe msitari wa mbele?
kwa nini tusitumie ushawishi tulio nao kuwashawishi wengine wafanye hii mission?

Tumenda kumngoa moderate kule Nzwani ili kumpa nguvu zaidi huyu fundametalist Ngazija
safi sana
Just like Americans
Mind you jeshi letu ni sawa na lile Jeshi la India kule Srinagar na Jammu, Kashmir labda Membe watu wake wangemwauliza India kuhusu hizi politics of occupation.
Lets take another scenario, Nzwani watangaze JIHAD dhidi ya wavamizi tutaicontain vipi hii hali?
Surely hatutomtuma Haroub Othman are we?
Shida yote hii wa kulaumiwa ni huyu hapa chini misifa ambayo haina mkia wala kichwa.
Icandon a.k.a Michael Ware, status ya Bacar ipoje? wamesham-jump au ndio yupo kwenye "shimo" kama Saddam wa Tikrit!!?