Majeshi yetu Comoro: Who is responsible?

Status
Not open for further replies.
In principle kuna clause za ku protect constitution za AU ambazo Zimbabwe ni signatory, kwa hiyo hata kina Tsvangirai wanaweza kuita majeshi ya AU kama wanaweza ku build a case against Mugabe.

Charter ya AU ilivyo sasa hivi is such that mtu akileta umafia kama wa Iddi Amin inawezekana kwa AU kuingilia.Enzi za OAU ilikuwa haiwezekani mpaka Nyerere akafanya umafia kumvamia halafu Amin kama kawaida yake mapepe alivyojibu mapigo kama mchonga alivyotaka Nyerere ndipo akaanza kulia tumevamiwa na nduli
 
Ingekuwa vizuri kama nguvu kama hizi zingeelekezwa katika kuondoa umaskini na kuboresha hali ya mtanzania.

Hiyo siyo priority kwetu

Mind you JK will be on the record tangu Nyerere as the President to took us to a useless war

ndiyo maana na utamu wa mjadala mkuu, otherwise hili si suala la imani kama zilivyo dini...ambapo tungelazimika kuamini, kufuata na kukaa kimya.

....kama msingi hapa ni "utamu wa mjadala" basi nimekubali, mie nilikuwa nafikiria vinginevyo....asante kaka kwa kunifahamisha!!.
 
halafu ninadhani kuna utata katika the real power ya bacar. only 300 men?. i dont think so. if Sambi didn't tell the truth about the real strength of bacar in order to convice the AU forces to take on the mission then you can see how the mission wont just be easy!.

Reconnaissance mission ilishafanywa kitambo wakati peacekeeping mission ya AU inatekelezwa mwaka jana...
 
I cant wait for hawa watu wakatufahamisha walimshauri nini Membe na wenzie kuhusu hii vita:

BALOZI FRANCIS MALAMBUGI

MAMA SHAMIM NYADUGA

bila kumsahau A MIYAYE

....kama msingi hapa ni "utamu wa mjadala"

ikiwa ina maana kuwa si vema watu wote wakawa upande mmoja tu, kidemokrasia lazima kuwe na mgawanyiko huru wa mawazo, na ndiyo maana unapata unaowaita mawaziri kivuli wa ulinzi nk. Bila shaka na akina Pope Benedict nao wamo, wasioisha kukemea vita!
 
Looks like jibu umelipata....Serikali ya shirikisho la Comoro imeomba msaada wa kijeshi AU baada ya juhudi za kidiplomasia kushindikana, ama wewe ulifikiria AU wameamua tu kwenda Comoro?

mimi binafsi ishu siyo kwenda Comoro ishu kwangu ni kwamba was it only the best option available?. ndo maana nikasema kwa nini sisi watanzania tukawa msitari wa mbele kussupport mission hii badala ya kufanya kazi na wadau wengine wa AU kama vile south afrika kuzidisha pressure za kidiplomasia?, siamini kama juhudi zote zimeshindwa unless wao wenyewe walishaamua kuchukua msimamo. na bado siamini kama njia ya kijeshi ni best option kuleta democracy.

even if AU imeamua kwenda katika mission why, Tanzania?. tumepigana uganda right?, tumepigana msumbiji, tumehost majeshi ya south africa,tulienda ushelisheli, tunasema tumechangia kuzikomboa nchi hizo, sasa hivi tupo lebanon,given matatizo yetu ya kiuchumi tuliyonayo hivi sasa why tuwe msitari wa mbele?
kwa nini tusitumie ushawishi tulio nao kuwashawishi wengine wafanye hii mission?
 
Nakubaliana na wewe kuwa tunaweza tukawa tumeharakisha Operation nzima, lakini kumbuka tangu Feb 20th walipopitisha azimio la kutumia nguvu za kijeshi Bacar alikuwa na muda mwingi wa kuendeleza maongezi lakini hakusema chochote, March 8th AU body contact ikakaa tena kikao kilichofanyika Dar kikapitisha azimio lakuanza kudeploy wanajeshi bado huyu mheshimiwa akaamua kuwa mkaidi, March 12th kwenye interview na AFP alisema "always been open to dialogue" and that there should be a round table to discuss Comoran problems. He said that holding a new election in Anjouan would be acceptable if a round table was in favor of it. swali je alirudi mezani au alifanya effort ya kurudi mezani?
 
mimi binafsi ishu siyo kwenda Comoro ishu kwangu ni kwamba was it only the best option available?. ndo maana nikasema kwa nini sisi watanzania tukawa msitari wa mbele kussupport mission hii badala ya kufanya kazi na wadau wengine wa AU kama vile south afrika kuzidisha pressure za kidiplomasia?, siamini kama juhudi zote zimeshindwa unless wao wenyewe walishaamua kuchukua msimamo. na bado siamini kama njia ya kijeshi ni best option kuleta democracy.

even if AU imeamua kwenda katika mission why, Tanzania?. tumepigana uganda right?, tumepigana msumbiji, tumehost majeshi ya south africa,tulienda ushelisheli, tunasema tumechangia kuzikomboa nchi hizo, sasa hivi tupo lebanon,given matatizo yetu ya kiuchumi tuliyonayo hivi sasa why tuwe msitari wa mbele?
kwa nini tusitumie ushawishi tulio nao kuwashawishi wengine wafanye hii mission?

preach.jpg

PREACH!!!
 
Shida yote hii wa kulaumiwa ni huyu hapa chini misifa ambayo haina mkia wala kichwa.

ytr765hfgtrydr8.jpg
 
Tumenda kumngoa moderate kule Nzwani ili kumpa nguvu zaidi huyu fundametalist Ngazija

safi sana

Just like Americans

Mind you jeshi letu ni sawa na lile Jeshi la India kule Srinagar na Jammu, Kashmir labda Membe watu wake wangemwauliza India kuhusu hizi politics of occupation.

Lets take another scenario, Nzwani watangaze JIHAD dhidi ya wavamizi tutaicontain vipi hii hali?

Surely hatutomtuma Haroub Othman are we?

610x.jpg

Anjouanese teenagers cheer the Comoran and African Union troops near from the place where the fightings are taking place in Mutsamudu on 25 March 2008.
 
Nyie mnataka kuwazibia watu wasifanye kazi zao, kuna wanajeshi wengine wanawashwa kufyatua bunduki miaka kibao hawajapata nafasi.Wengine walio UN wanaona ni chance yao kumalizia vibanda na kuweka mambo sawa.Kama vitu vina baraka za vyombo vya kimataifa who are you kuwazibia watu kazi zao?
 
Ha! Limeshakuwa swala la ulaji tena? Nilidhani wanalipwa mishahara...
 
Icandon a.k.a Michael Ware, status ya Bacar ipoje? wamesham-jump au ndio yupo kwenye "shimo" kama Saddam wa Tikrit!!?
 
Watanzania sasa waanza kutesa wafungwa. Abugharib ya africa inanukia.

rebel385_308214a.jpg

Comoran and Tanzanian African Union soldiers in Mutsamudu beat a man suspected of collaborating with Mohamed Bacar, the renegade Anjouan leader
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom