Majeshi yetu Comoro: Who is responsible?

Status
Not open for further replies.

Mkuu Icadon,

i expected this, no one likes to send his best men to unknown opposition.
 
dont expect that is the end of those questions, Mkuu P.
 
..upuuzi mtupu,sijui tunatafuta nini huko,mambo kama haya ndio yanatutia umaskini zaidi,acha wachapane ili waheshimiane,kama hiyo serikali inataka kumpiga huyo jamaa na haiwezi acha iondolewe tuu au iende kukodi majeshi ilipe pesa!
 
A meaningful cry would be for us to quit the AU and maybe the UN as well, ever thought about that?
 
Kama ukitaka kujua kama JF kiboko tazama statements kutoka jeshini leo

Tumeuliza who is who na kwa nini FOREIGN wanawabuldoze DEFENCE

leo defence wametoa statement eti kuanzia sasa kila kitu kitapitia kwao kupitia coordinated media centre ambayo tunajua HAWANA!

Pili hilo la wanajeshi wetu kutojua kuogelea ni OPEN SECRET na hata hiyo post ya ICADON hapo juu inasema

sipo hapa kuwachambua wanajeshi ila sie wengine tumekataa kukubali maneno toka kwa wanasiasa...ndio maana nikauliza maswali hayo hapo juu.

Cha ajabu watu wamekuja kutetea kuwepo kwetu kule bila kujibu maswali ya msingi niliyouliza hapo awali

sasa basi narudia tena kwa sababu serikali yetu haitaki tujue eidha kwa kusudi au kwa sababu haijui kitu then naona bora hapa sisi tuendelee kujadili based on speculation,inuendo na half truths mpaka hapo hao wanasiasa watakapoona kuna opotoshaji wa information...

then

kama kawaida yao wataanza kuweka correct information and maybe tutapata majibu ya maswali yangu

So far maswali mawili yamejibiwa:

1)DEFENCE wamesema wataamua info zipi tutapata

2)MEMBE alitoa time table kuwa by tarehe 30 VITA vitaisha leo ni tarehe 26!

"DEFENCE wamesema wataamua info zipi tutapata"

You expected that, didnt you, GT?
 
Code X,
Mimi binafsi sijapitia jeshi la Tanzania na sijui mwenendo wao wa mafunzo lakini naamini katika vitu wanavyofunzwa kuogelea ni lazima kama certain schools zina somo la kuogelea kwa wanafunzi wao ndio itakuwa jeshi la nchi?

Ukiangalia nature ya Op yenyewe ni kuwa wanashambulia kwa kutokea majini kwenda nchi kavu alafu unasikia vitu kama walikuwa wanashindwa kuhimili mikimiki ya mawimbi na wengine wakawa wanadondosha silaha zao majini, that leaves a lot of questions kuhusu utayari wa jeshi letu.
 
I strongly distaste and condemn the brutal torturing of defenseless innocent citizens by our army!
 
I strongly distaste and condemn the brutal torturing of defenseless innocent citizens by our army!

Kitila,

Evidence please.I also detest brutality, especially when the receiving end is defenceless civilians.
 
amini usiamini, kuna difference inayoonyesha failure kubwa kwa recruits waliozaliwa miaka ya kuanzia 1976 na kuendelea katika mambo haya. wengine wanahusisha na kukosekana kwa JKT, katika ku mould fikra za vijana wetu, wengine wanahusisha na nguvu hasi za globalization...lakini hii kitu ipo, wana tofauti kubwa na wale wengine wa miaka ya nyuma.

Hii inanifanya nisishangae sana, hasa baada ya kuona makosa mengi sehemu zingine serious.
 
Kitila,

Evidence please.I also detest brutality, especially when the receiving end is defenceless civilians.

Comoran and Tanzanian African Union soldiers hit a man suspected of collaborating with Mohamed Bacar

A Tanzanian African Union soldier hits a man suspected of collaborating with renegade Anjouan leader Mohamed Bacar

picha nyingine zaidi ziko kwenye pages kadhaa nyuma.
 
"DEFENCE wamesema wataamua info zipi tutapata"

You expected that, didnt you, GT?

Yah lakini its abit too late

lakini DEFENCE walitakiwa wa coordinate na FOREIGN(akina Mwambene) ili kuwe na uniformity ya flow of information

sasa wasi wasi wangu ni kuwa FOREIGN walishaanza kuonyesha tendency za ku BULLY hapo awali sidhani kama wanajeshi watakubali kushare nao platform

Cha ajabu ni kuwa IKULU kupitia SALVA nao wako kimyaaa

anyway I cant wait tarehe 30 kuona hiyo MISSION ACCOMPLISHED kama alivyoahidi Membe
 
Ica,

Not to defend AU forces or anything as I respect The Geneva convention.

BUT

Hiyo pic siyo evidence one way or the othere.How can you tell that he is not a Bacar soldier being escorted to camp after a severe kichapo in the battlefield?
 
Main mission mbona ishakuwa accomplished Mazee.Washamtoa Bacar.Kilichonbaki ni kuwatrain wanajeshi wa Comoro na kukipa kitu.Wakitaka kufanya kama Wamarekani kuweka kambi huko watakuwa wanachemka.
 
Ica,

Hiyo pic siyo evidence one way or the othere.How can you tell that he is not a Bacar soldier?

Pundit, seems you understand nothing about prisoners of war and the geneva convention in regards to their treatment.
 
Pundit, seems you understand nothing about prisoners of war and the geneva convention in regards to their treatment.

Why do you say that, I am always eager to gain some more.Elaborate.
 
Main mission mbona ishakuwa accomplished Mazee.Washamtoa Bacar.Kilichonbaki ni kuwatrain wanajeshi wa Comoro na kukipa kitu.Wakitaka kufanya kama Wamarekani kuweka kambi huko watakuwa wanachemka.

Mission Accomplished wakati Bacar bado yuko on the run?

Officials warned however that catching Bacar, a colonel who underwent military training in France, could prove difficult.

"Mohamed Bacar has not used all his forces and equipment yet. He's a clever poker player," warned Aboubekr Chahassou, one of Bacar's former allies now loyal to the federal government.

Pundit, msemaji wa serikali ya Comoro amesema kuwa wanajeshi wa AU watabaki Anjouan mpaka uchaguzi utakapofanyika(2-3 months from today) sasa anything can happen hapo katikati(God Forbid)
 
Hiyo pic siyo evidence one way or the othere.How can you tell that he is not a Bacar soldier being escorted to camp after a severe kichapo in the battlefield?

How is that not in cohorts with the Geneva convention?
 
Why do you say that, I am always eager to gain some more.Elaborate.

Well, basically they have to be treated humanely. That picture doesnt show that at all. With this age of technology, thats why you see soldiers in Iraq falling in dodoo. Basically, google 'Prisoners of War and the Geneva Convention or treatment'. Its a long article.
Just thought I point that out, as I have read a few of your posts and in this part and you are totally blind to this.

Some Article

Just do a bit of reading. Not all is fair in war!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…