Pundit
JF-Expert Member
- Feb 4, 2007
- 3,733
- 141
Tatizo linalojitokeza hapa ni kuwa kuna watu wako anti-CCM, anti-Kikwete na kila kitu serikali ya Tanzania itakachokifanya.
Naam, hata mimi serikali ya Tanzania inaniudhi sana, Kikwete ananitapisha mpaka nataka kutapika maini yangu mwenyewe, lakini ikija kitu cha principles, kitu kimepitishwa na AU, kitu kinawabana secessionist, kitu kinaset precedent ya Waafrika ku take care of their own, who am I to be against such a noble goal?
Mind you, inawezekana kabisa kwa standards zetu ndogo kuna abuses zinafanywa, but they will have to be documented and clearly shown before we jump on any bandwagon.Tusije tukaingia mkenge wa partisan politics hapa JF kwa kuwa watu hawaipendi CCM na Kikwete tu basi wanaipaka matope effort nzima ya AU.
Nasema hivyo huku rekodi yangu ya posti hapa JF ikinishuhudia kama mtu mmoja ninayepaka sana CCM na Kikwete kwa hiyo hamna issue ya pandering au kutetea bila msingi.
Kama kuna mtu ana motives zake other than the AU ideals and charter for territorial integrity and maintaining peace and harmony among member states, that is another matter.
Ni objectivity tu.