Majeshi yetu Comoro: Who is responsible?

Majeshi yetu Comoro: Who is responsible?

Status
Not open for further replies.
this is what I'm talking about! Hongera wapiganaji wetu.. now what is the exit strategy?

Kwa mujibu wa msemaji wa serikali ya Comoro(juzi), majeshi ya AU yataendelea kubaki Anjouan mpaka uchaguzi mkuu utakapofanyika ndani ya miezi 2-3.

Wafaransa naona wamesema wanaweza kumdeport Bacar.
 
..hivi baada ya hapo tutamshukia Gen.Nkunda?

..hivi mmepata kumsikia General But-Naked wa Liberia?
 
Wametajwa sana Watanzania na Wasudan kuwa vikosi vyao viko Comoro. Lakini ahadi za mwanzo kabisa ziliwahushisha Senegal na Libya. What happened?
 
Wametajwa sana Watanzania na Wasudan kuwa vikosi vyao viko Comoro. Lakini ahadi za mwanzo kabisa ziliwahushisha Senegal na Libya. What happened?

WaSenegali mpaka dakika za mwisho watu wanakaribia kuvamia walikuwa hawajatokea, katika picha zote sioni type za KiLibya hata moja.
 
WaSenegali mpaka dakika za mwisho watu wanakaribia kuvamia walikuwa hawajatokea, katika picha zote sioni type za KiLibya hata moja.

Libya msaada wao ulikuwa logistics na kusafirisha wanajeshi wa Sudan na Senegal,
Kuhusu majeshi ya Senegal nadhani tangu ile issue ya wanajeshi wa AU kushambuliwa Darfur walikuwa wazito kupeleka majeshi yao Comoro.

Naona wanajeshi wa Sudan nao wameingia Anjoun.
 
kwa nn hawa wafaransa wanapenda kutuchezea ?

hivi lini haya mataifa makubwa yataweka heshima kwa waafrika?

Ufaransa yamgeuka Bacar

2008-03-29 09:13:54
Na SAINT DENIS DE LA REUNION, France

Baada ya kutimuliwa na vikosi vya Umoja wa Afrika (AU) kisiwani Anjouan Jumanne iliyopita, kiongozi aliyejitangazia Urais kimabavu, Kanali Mohamed Bacar huenda akatimuliwa katika kisiwa cha Reunion kinachomilikiwa na Ufaransa ambako alipewa hifadhi ya muda, limeandika Shirika la Habari la Uingereza Reuters jana.

Baadhi ya maofisa wa Serikali ya Ufaransa walithibitisha jana kwamba serikali hiyo ilikuwa ikifikiria kumfukuza nchini mwake kiongozi huyo ambaye anasakwa kwa udi na uvumba na serikali ya Comoro kujibu tuhuma za uhaini na uasi.

Comoro juzi iliiomba Ufaransa ambayo ndiyo inatuhumiwa kumkimbizia Kanali Bacar kwenye kisiwa cha Reunion akitokea Mayotte imrejeshe ili aweze kufikishwa mbele ya sheria.

Mwendesha Mashtaka Mkuu kisiwani Reunion, Francois Muguet jana alisema kwamba bado hajapata taarifa zozote za kibali cha kimataifa kinachoruhusu kumtia mbaroni Kanali Bacar kutoka serikali ya Comoro.

Muguet alisema kwamba Kanali Bacar anatarajiwa kufikishwa mahakamani leo kisiwani Reunion kwa tuhuma za kuingia visivyo halali katika ardhi ya Ufaransa akiwa na silaha.

Baadhi ya vyanzo vya habari vilisema kwamba kuna uwezekano mkubwa mahakama ikampa adhabu ya kumfukuza kisiwani humo kutokana na tuhuma hizo.

Hata hivyo, mwendesha mashtaka huyo alisema kwamba hukumu ya kesi yake inaweza kucheleshwa kwa siku 10 hadi 15 endapo Kanali Bacar ataiomba mahakama impe muda wa kuandaa wanasheria watakaomtetea.

Mwanasheria Muguet alisema kiutaratibu hawezi kusaini amri yoyote wakati bado hapajatolewa maamuzi ya kumpa hifadhi za kisiasa au kumfukuza Reunion.

Kanali Bacar akiwa ameambatana na askari wake 22 alikimbilia katika kisiwa cha Ufaransa cha Mayotte kabla ya kutoroshwa na ndege ya kijeshi ya Ufaransa hadi Reunion.

Kufuatia hifadhi aliyoipata kwa muda kisiwani Mayotte, wananchi wa Comoro jana waliandamana hadi katika Ubalozi wa Ufaransa mjini Moroni wakiishinikiza nchi hiyo kumrejesha Kanali Bacar.

Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa, Yves Jego alisema jana kwamba japokuwa nchi yake inafikiria ombi la kumpa Kanali Bacar hifadhi, upo pia uwezekano wa kumfukuza.

``Kimsingi (yeye na wenzake) wanastahili kurejeshwa Comoro,`` Waziri Jego aliwaambia waandishi wa habari.

SOURCE: Nipashe
 
Seems like this was a people backed mission.I hope this is the beginning of the end for lawlessness and undue secessionist factions in Africa.

The ROI is considerable considering the size of the mission and the PR/ Message this mission sends throughout Africa and all over the world.

Don't hold your breath though.
 
Nadhani watu wa Comoro wameshachoka kila siku kupinduliwa tuu na kukaliwa na watu wasiowataka, its high time wakaanza kuchagua viongozi wao wenyewe sasa.

Au wameshatoa tamko kuhusiana na hii operation na je msimamo wao ukuje kuhusiana na hii hifadhi anayopewa Mohamed Bacar?
Picha ya chini ni askari wa kifaransa wakilinda gari alilomo Bacar akisubiria kuingia mahakamani, kwa kosa la kuingia Mayotte kinyume cha sheria uku akiwa na silaha.
3fca5d1daf5a8535345b4d4ca2f9aa11.jpg
 
Baada ya Operation kukamilika matumaini yangu yalikuwa ni kwamba baadhi ya wanajeshi wetu wataanza kurudi nyumbani lakini inaonekana ndio kwanza wanazidi kuwadeployed Anjoun.

610x.jpg

610x.jpg
 
Huyu Mbeki hivi anafikiria nini kutaka kulalamikia operesheni ya kijeshi dhidi ya Bacar (Bakari)? Amesema atalalamika rasmi kwenye kikao kijacho cha AU.

Alikuwepo wakati wakuu wa nchi za AU wanapitisha azimio la kumtoa kinguvu, lakini eti kwa sababu Bakari alimwandikia siku ya mwisho kumtaka asaidie kurejeshwa kwa mazungumzo, basi naye sasa eti anasema AU haiwezi kutatua matatizo kijeshi, preference always imekuwa dialogue!.

Dialogue hiyo imefanikiwa kwa namna gani kutatua migogoro barani Afrika?

Nina wasi wasi anajaribu kujitutumua tu kwa kuwa as a powerful country, imeshindwa kusapoti operesheni ambayo wengi wanaona imefanikiwa na pengine anaona hili litamnyima credibility. Anataka mawazo take yaweze kuipindisha AU nzima...
 
Mbeki is a delusional ideologue, a lost one at that.He cannot be realistically looking at te situation for he must have seen Bacar's treachery and deceit if he was doing so.

Another possibility is that he has a secret agenda.From the scramble for a now fleeting legacy to secret deals with the west.

After a home defeat by the almost illiterate ZUma he is now looking for a beating from the equally awkward Kikwete.I wonder what happenned to the intellectual who had so much promise for a new breed of African leaders and our own Renaissance.
 
Sure, i think u r right!
 
But if he failed to regain his fast eroding polularity from Zuma, i bet he is definately making the whole of Africa more suspiscious of his vision and wisdom now. In this Comoro issue, he is not just aspiring to beat Kikwete in this Comoro affair, but rather, the AU members if not the world, as the UN was participating in the dialogue and had blessed the military operation.

Remember his HIV/AIDS/Poverty argument that shook the world?
 
Baada ya ukimya mkubwa na majadiliano ya kila mmoja hapa na ushabiki wa Tanzania kuingia vitani bila ya sisi Watanzania kuelezwa kwa nini tuna askari wengi kuliko wengine huko muda nimetoka kuongea na msiri mmoja anasema vita hii inadhaminiwa na Tanzania nyenyewe na pesa ya mlipa kodi na nyongeza ya bajeti toka kwa wahisani.Mmoja wa wahisani anasema amechanganyikiwa kuona mambo yanavyo enda na wanadhamiria kuibana serikali mbavu na kuwaacha watupu.Nikamweleza hii ni mission ya AU akanigakikishia kwamba si AU ni tanzania na gaharama zote hizo .Je wewe unasemaje ?
 
Kama hizi tetesi ni kweli, which is not that far fetched given Kikwete's appetite for misifa, then I will murder machete (with the pen.. err the keyboard, not the sword, sadly, I know...) his azz right in here, for real.

I am for an AU mission, AU funded and opreated with Tanzania contributing soldiers and expertise.Haya mambo ya kujitutumua kwenye vita wakati wenyewe tunashindwa hata kunywa maji safi ni upuuzi.
 
wewe jiulize kitu kimoja, "eti wafaransa wametupa logistic support kusafirisha askari wetu kwenda comoro at the same time wafaransa hao hao wanampa ammunation Bacar hapa kuna mchezo gani umechezwa?, je intelligence yetu ilikuwa wapi kutokufahamu mapema kwamba wafaransa wanacheza pande zote?. na kama walifahamu kinachoendelea kuhusu double standard za wafaransa kwa nini hawakukataa msaada wao wa kusafirisha askari wetu?.
 
sasa mmeamini kuwa mimi siyo mwendawazimu?

mimi nililiona hili na nashangaa wale ma pro war kama akina mwanakijiji waliamua kusupport hii operation bila kuuliza maswali ya msingi

siamini hata siku moja kuwa AU iliyoshindwa kununua helicopter kule Darfur leo wamepata pesa from no where za kufund hii vita

come on people something was not right from the start na hii kitu na ninahisi Membe kama waziri aliliongopea taifa
 
Kwa wale wanaosoma na kufuatilia hotuba za kila mwisho wa mwezi kutoka Magogoni Rais amelizungumzia hili swala(kama ameshahutubia taifa)?

GT, I'm still trying to find out hizo funds zimetoka wapi, nitakujulisha kwenye PM.
 
GT, I'm still trying to find out hizo funds zimetoka wapi, nitakujulisha kwenye PM.
tujulishe wote, hamna haja ya kutumia PM, wote tuna hamu ya kujua hizo funds zimetoka wapi.
 
I Think Before We Ask Ourselves Who's Responsible We Should Ask Our Leaders Whats The Mission And How Does It Serve Our National Interests..and Also How The Constitution Expalins The Connection With The So Mission.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom