Majeshi yetu Comoro: Who is responsible?

Majeshi yetu Comoro: Who is responsible?

Status
Not open for further replies.
wewe jiulize kitu kimoja, "eti wafaransa wametupa logistic support kusafirisha askari wetu kwenda comoro at the same time wafaransa hao hao wanampa ammunation Bacar hapa kuna mchezo gani umechezwa?, je intelligence yetu ilikuwa wapi kutokufahamu mapema kwamba wafaransa wanacheza pande zote?. na kama walifahamu kinachoendelea kuhusu double standard za wafaransa kwa nini hawakukataa msaada wao wa kusafirisha askari wetu?.
Michezo ya WEST hiyo kama ujagundua..Bush aliwatumia raia wa iraqi wenye uhusiano mkubwa na Iran(shiite's)na ambao kiasili ni wairan..ambao walikuwa ukimbizini Iran Saddam akiwa madarakani(divide and rule is on the works)Kwani hadi sasa mapato ya mafuta hayagawanywi sawa kwa wananchi wote!Na kujua wazi kuwa kumuondoa Saddam ni sawa na kumpa Muiran(Ambaye still yuko kwenye axis of evil sambamba na iraq na ambaye yuko kwenye fungu la mmadui wakubwa wa marekani)Nguvu kubwa huku akidai kuwa ni mashetani!Kwa kuwapa "mashetani" nguvu ili vita visimalizike!NI WAZI KUWA FREEDOM WANAYOIPREACH SIO FREEDOM TUNAYOIJUA SISI (watu wa kawaida)!TAFSIRI HAPA LAZIMA NI TOFAUTI TEGEMEA NA MAKUZI,HISTORIA NA MAZINGIRA!Ni wazi kuwa dunia ikiwa na amani matajiri wakubwa watapata hasara!Kuna matajiri ambo wanautawala ulimwengu huu ambao wameinvest kwenye vita na vita ikiisha hawana mapato!NI SAWA NA MTENGENEZA MAJENEZA AMBAYE SASA ANAAMUA KWENDA KUUA ILI APATE BIASHARA!Shida kwa west ni kwamba hawataki kufanya biashara ambayo ni the leastet fair!Hawataki kuilipa Iraqi pesa ambazo zitalisadia taifa..bali group la watu wachache(Shhite)ambao wako maeneo ya kusini kwenye mafuta mengi na kaskazini pia ambapo wamefanikiwa kuwagawanya kurdish based on ukabila na sasa wanawalipa pesa kidogo tu zitakaoyoitosha kurdistan area na sio iraq!When are they going to sympathise and think about other credible human beings?Hawataki kufanya biashara halali na fair ambayo italinufaisha taifa..badala yake watalazimisha miaktaba wanayotaka wao na ukikataa yatampata yaliompata Saddam na wengineo!Mfano halisi ni Musharaf ambaye licha ya kwamba ana nyuklia weapons bado ali surrender kwa Bush..sambamba na mnafiki Gadafi ambaye naye mara baada ya mkwara wa Bush akampigia simu Blair na kukubali kuanza kuwalipa jamaa na familia za ile ndege ya scotland ambapo ni mabilioni ya dola!Ndege hiyo inasadikika kuwa ililipuliwa na magaidi kutoka Libya!Kutokana na hilo ni vigumusana kumuangushia Rais lawama...ila anachotakiwa kuafanya sasa hivi ni kuhakikisha kuwa kile kinachopatikan kinatumika vizuri kwenye harakati za kuindeleza nchi kuwapatia wananchi matibabu na mahitaji muhimu na sio wachache kama ilivyojionyesha hivi majuzi kwenye matumizi ya mil mbili ya spika wa bunge kwa ajili ya miguu yake ambayo pengine mazoezi peke yake yangeweza kusaidia!
 
Kuna mtu kauliza how was it possible that out intelligency was faked bila ya kujua double play ya France .Nasema hatuna intelligency kwenye mambo serious ila kuwakingia kifua mafisadi tu basi .

Habari za uhakika narudia tena ni kwamba pesa za vita ile zinatoka Hazina ya Tanzania .Kama serikali inalipa means ni Hazina means pesa yangu na yako .Kama kuna mtu anataka kupinga aje hapa tumwage data maana nazidi kuzipokea .
 
Kwa wale wanaosoma na kufuatilia hotuba za kila mwisho wa mwezi kutoka Magogoni Rais amelizungumzia hili swala(kama ameshahutubia taifa)?

GT, I'm still trying to find out hizo funds zimetoka wapi, nitakujulisha kwenye PM.

Nimekupata na ndio maana nilipouliza yale maswali wao waliamuakunitumia PM eti ni slow down

Anyway tazama PM yani ile kuna angle mpya ya hii kitu na things are not that good as projected. Jmaa wamesahau kuwa hii vita inayopiganwa in the 21 century na hawawezi kuficha info kama wanavoendelea
 
GT kama una info ni pm basi ili niwe uptodate, au kama vipi mwaga vitu hapa ili tumkome nyani mchana kweupeee!.
 
Hivi huyu jamaa alikuwepo wakati kisiwa cha Anjouan kinakabidhiwa kwa serikali ya Comoro, au ndio aliamua kupanda zake ndege kwenda Syria?
CPS.MTI11.290308023311.photo00.photo.jpg
 
Hii habari niliipost 21st July 2007, mods hebu fanyeni mu imerge na thread ya comoro inayoendelea
 
Unafiki wa wafaransa, wakimalizana naye watamkabdhi kwa serikali ya Comoro au watamfunga huko huko St Denis?

BAcar akiwa mahakamani
610x.jpg
 
Tanzania tumeamua ku spread democracy kwa mtutu wa bunduki..says alot about MEMBE na rafikiye JK
 
ICADON, GT na wengine

Tujulisheni progress huko Commoro? Je majeshi yetu yameanza kupata ushambulizi kutoka kwa insugents? Je hakuna hata Friendly fire?
Wanajeshi wangapi kutoka pande zote wameuwawa au kujeruhiwa?

Ni lini Tarehe rasmi ya uchaguzi ili tujue wanajeshi wetu watarudi lini nyumbani? Hali kwa ujumla ikoje?
 
Dah!! hivi kumbe bado vijana wetu wako Comoro...well according to our president wataanza kurudi nyumbani mwisho wa mwezi huu na wengine mwezi ujao.

Mbali ya yule mwanajeshi wetu aliyetumbukia majini na kufariki hakuna aliyefariki kwenye mapambano.

GT, I guess jamaa bado anadhani tuko kwenye zama za ukombozi wa nchi za kusini mwa Afrika. Alafu umeona sasa the way dots zinaanza kujiunga?
 
Naona Wapiganaji wetu wameshaanza kurudi mpaka jana walikuwa wamesharudi 500...bad news hakufanikiwa kupata mwili wa yule mwanajeshi aliyetumbukia baharini(Mungu amlaze mahali pema peponi).

According to DR. Mwinyi, They are now prepared to participate in Darfur.
 
..mwili wa mwanajeshi aliyetumbukia baharini haujapatikana pamoja na juhudi za hali ya kuu kumtafuta,..inaaminika alipoanguka anawezakuwa alikutana na mkondo bahari [sea rivers]....kwa hiyo akasafirishwa mbali kabisa na eneo la tukio..mbali na pwani kiasi kuwa hata kama aliibuka inaweza kuwa alinyofolewa na kuharibiwa na samaki....kiasi cha kufanya asionekanne tena....maana katika hali ya kawaida angepatikana kwenye pwani za jirani!!!

as said juzi wamerudi nusu....
 
Progress ni kuwa zaidi ya milioni 50 za walipa kodi wa Tanznaia zinatumika per day kule comoro

so far hakuna cha CHADEMA wala CUF waliouliza kwanini AU wamegoma kutoa pesa za operesheni

Huu ni mfano mzuri kutathmini kama siasa zetu za nje zina mwelekeo wa kuinufaisha nchi na Watanzania au ya wakuu wa nchi kujionesha eti!

Mimi ningelikuwa Amiri Jeshi Mkuu wa nchi hii toka enzi za Mjomba Mkapa pamoja na kusahau kudhibiti Hazina na Benki Kuu jambo ambalo ningelifanya tofauti kidogo ni kuhakikisha kuwa napeleka majeshi Kongo Kinashasa ili walio chini yangu wasiibie Tanzania bali waibe kwingine. Ninadhani mnanielewa JF!

Kama kuna kichekesho kikubwa cha watu ikiwemo waandishi wa habari kupewa nishani za ushujaaa ni kwenda kutishia nyau Komoro badala ya kwenda kumsalimia Jenerali Nkunda na kumwambia na sisi pia tuna rasilimali zetu Kongo Kinshasa na hasa upande wa Ziwa Tanganyika!
 
Ndugu yangu mbona unashangaa majeshi kupulekwa COMORO?. Unajua kama kuna mpango wa kuunganisha comoro na tanzania?. Hawa wanafanya watakavo ndio maana wanaitwa viongozi. Maamuzi yao ndio maamuzi ya nchi sababu tumewachagua kutyuongoza. Mabadiliko lazima yawepo lakini sio kwa watawala tulio nao. Kushauri wananchi juu ya suala kama hili si jambo rahisi kwa viongozi wetu wakiafrika.
 
Bado mnaendelea kuuunga mkono military adventures zetu chini ya CCM au mmebadili mawazo?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom