Bado mnaendelea kuuunga mkono military adventures zetu chini ya CCM au mmebadili mawazo?
na Gaddafi ile cash point imekatwa so waliokuwa wakienda libya kuvuta sjui itakuwaje
Na hii na mwanajeshi wa nchi maskini kukutwa na trilioni 3 kwenye akauti yake binafsi kama ni kweli, itakuwa global news. Sishangai kama Waingereza na donors wengine wakachukua route waliochukua kule Malawi.
Probably ndio zimeshangia account ya mwanajeshi kuwa na trilioni 3?
Unajua napata picha nyingine hapa kwamba usikute pia kodi zetu zilikuwa diverted kama kwenda kusaidia Comoro na baadaye mifukoni mwa shimbo!
hapo kwenye red unamaanisha Membe au Balhaboo?? maana hao ndio walikua "wanavuta" - allegedly!!mhhh the issue hapa ni kuwa aliyekuwa kimbele mbele na hii vita hana tena war chest kwa ajili ya 2015 Gadafi hali mbaya na potential candidates washajua kama jamaa ni threat sasa na yeye anamwaga vitu vyake
Just like in the GAME OF THRONES kila mmoja anaangalia maslahi...and you know what the dude is a hustler!
Mimi namshauri apide dili na akina ma Mulla wa Tehran atapata...japo channel ya kule ni ya Rostam yaani imekuwa kama vile mbwa kala mbwa
jiulizeni kwa nini hawataki kuirudisha siasa hii thread?
Si tunaingiza pesa za kigeni. Nikisema watafuta hii thread