Majeshi yetu Comoro: Who is responsible?

Majeshi yetu Comoro: Who is responsible?

Status
Not open for further replies.
Mkuu ninarudia tena kuwa lugha uliyotumia kumkashifu rais wetu, haikubaliki, mimi sina unafiki mkuu, haikuwa vyema kwa Dar nilimwambia na wewe sasa ninakuambia, mkuu ndio JF hii huwa hatuogopi mtu hapa ila labda tunaogopa hoja nzito.

Maneno mazito hayo, kashifa gani hiyo FMES au unajaribu kuitengeneza? Hebu iweke wazi hapa JF maana umesema wewe sio mnafiki otherwise tunaweza kukuona unajikaanga na mafuta yako mwenyewe.
 
guys hali ni mbaya waombeeni ndugu zenu watanzania maiti kweli zinarudi na membe amekataa kueleza chochote kuhusu hili
akiogopa aibu,,labda kwa taarifa tu wanajeshi wetu wako kule 2yrs ago na kama uamini muulize ndugu yako alie comoro airport nzima ya comoro unasikia acha uanisi wewe,,,mpumbavu nini dat is 2yrs ago..so tumuulize membe hao wanajeshi walikuwa kule wanalinda nini??????????mua wote na wanafanya nini????????????
marais wa comoro ndugu zetuwanakuja tanzania kila siku kama wako msalani,,,,,na kuna kipindikuna fununu jamaa walikuwa na madili ya mafuta na ndio maana yule raisi wao aliepita alivyokuwa mshenzi akampa ubalozi wa comoro mtanzania MAHBOOL jamaa wa mafuta.....kana kwamba hakuna wacomoro wenye uwezo wa kuongoza nje ya nchi yao...hivyo msione watu wamekimbilia kule kuna dili ambayo labda kikwete na membe ndio wenye uwezo wa kutueleza walichokifwata au wanalipa fadhila,,,,ukifika comoro ni aibu since 2yrs ago watanzania wanajeshi wametapakaa nchi nzima kunanini?????????????why????????????? semeji!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
The Associated Press
Tuesday, March 18, 2008

MOHELI, Comoros: Comoros Islands troops clashed with loyalists of the renegade military ruler of Anjouan during a weekend mission in the Indian Ocean archipelago that wounded two government soldiers, the army chief said Tuesday.

Chief of Staff Salim Mohamed said a reconnaissance team of about 10 soldiers landed Friday in the south of Anjouan island and reached the southern town of Domoni, where they attacked police and freed prisoners — apparently political prisoners.

Rebel leader Col. Mohamed Bacar seized control of the island after disputed elections in July.

The troops then retreated back to Moheli island and returned to Anjouan on Sunday to rescue the two wounded soldiers, Mohamed said.

He spoke on Moheli, where a force of Comoran government and African Union troops were preparing to retake Anjouan.

The army chief claimed the missions show Bacar does not have full control of Anjouan.

"We can land where we want. Believe me, if we'd wanted to capture Mohamed Bacar we could have done so. Mohamed Bacar's forces are nothing. He cannot control the island. Now, his forces are afraid of us," Mohamed boasted.

Local media reports said Bacar loyalists ambushed the Comoran troops on Anjouan's coast and that 10 of Bacar's renegades were killed. Mohamed made no mention of rebel casualties.

Mohamed said the operations did not represent the start of the joint Comoran and African Union invasion of the island, although he said that was imminent.

He said they were still awaiting the arrival of some Senegalese troops.

France's military transported about 300 Tanzanian troops and 30 tons of freight to Grand Comoros Island over the weekend, French military spokesman Christophe Prazuck said Tuesday.

A French diplomat said the French were ready to transport Senegalese troops as well, but had not yet done so.

The diplomat said France remains "favorable" to dialogue but on condition that Bacar accepts the presence of African troops at the port and airport of Anjouan. The diplomat spoke on condition of anonymity because he was not authorized to speak to the medi
a.

South Africa also has been counseling more dialogue, though the African Union has been trying to negotiate a settlement for months.

"We've done all the negotiating we can to avoid war but it has failed," Mohamed said. "The only way is war. There is no turning back now."

The Comoros, with a population of 700,000, has survived 19 coups and coup attempts that have threatened its unity since independence from France in 1975. Each of the three main islands has a regional president. The main leadership, under President Ahmed Abdallah Sambi, is based in Moroni on Grand Comoros. The island of Mayotte remains under French control.
 
Tanzania kuongoza Amphibious Invasion(hmmm) hivi kwa wale wanaolijua jeshi letu vizuri especially Navy tuko well trained na equipped for this sort of Operation?
 
mbalamwezi majeshi yetu yamekwenda kule kama miaka 3 iliopita ndugu yangu,,ukisem achini yamendate ya AU ,,,SIKUBALIANI maana ndugu(JK) yetu kapeleka juzi kama AU majeshi yake je majeshi ya AU yalianzanza kwenda toka lini uko????????bado tujieulize nini wanachokimbilia kule na kwanini wasimkimbilie ""COMRADE MUGABE""
waone cha moto na MAJESHI YAKE YAMESHASEMA HAKUNA MWINGINE ZAIDI MUGABE ,,,,kazi ipo?????
 
Icadon, miaka kama kumi iliyopita wanajeshi wetu hasa upande wa makomandoo wameanza kusoma hapa US na tunao hadi maafisa wa Polisi ambao wamefanya yale mambo ya SWAT na nini.. aliyeongoza mashambulizi ya wale wa Kenya mwaka jana ni mmoja wao.

Kwenye JWTZ yenyewe wapo wapiganaji wetu, na hilo pia linasaidia inapokuja Wamarekani wanapotaka tusaidie kufanya kazi chafu, wanawajua "wanafunzi" wao...
 
He he umenikumbusha kuna mzee mmoja aliletwa hapo Quantico baada ya Bomu la 1998 lakini 5 years later akastaafu(talking about priorities)...

Ebanae mambo ya "Natural Fire 2006"?
 
......longolongo la nini sasa? ebu waacheni kidogo wakachangamshe damu. maana wanakaakaa tu bure, wanaota "vifriji" na kupiga wananchi bila lolote la maana wafanyalo!!
swali langu kubwa ni nani ana finance hizi gharama za wao kuwa huko Comoro?

Mzee FMES na Kubwajinga naona kama mmepaniana, maana hii thread ya tatu sasa au nne(kuanzia kule kwa Masha kumtetea kijana wa raisi mpaka huku) mna swing @ each other kaa nini yaani!! kuna chepi, wakina sisi makabwela tusichokijua kinachowafanya ninyi muwe hivyo?? ni swali tu.

asante.
 
Hii kali TZ vitaniii!!,wengine siye tulizaliwa baada ya vita ya UG,acheni na sisi tushuhudie - Uchumi Kushuka;Vilio vya kila siku;Maiti nyingi za kijeshi vijijini;Risasi na Mizinga makaburini;familia zisizo na mzazi mmoja;Njaa;Manung'uniko kutoka kwa wananchi - Ila pia kushuhudia kukamatwa kwa Conel Bacar na wanamgambo wake kutiwa mbaroni at the end we'll having a story to tell our generation in future!
Mungu ibariki Afrika.
 
Hivi na sisi tuna kakisiwa ambako tunaweza kuwaweka hawa jamaa guantanamo style? Ila naogopa mambo yakiwa machungu watu wasijekumlaumu Nyerere bure..
 
YournameisMINE waambie hawa jamaa si wakati wa kupaniana NCHI IPO VITANI so its better 4 thi guys to reconcile sio time ya kutupia majimamboz / vinen😵KAY GUYS!!!!???
 
YournameisMINE waambie hawa jamaa si wakati wa kupaniana NCHI IPO VITANI so its better 4 thi guys to reconcile sio time ya kutupia majimamboz / vinen😵KAY GUYS!!!!???

Tuko vitani au vijana wetu wa kikosi cha.......wameenda kustretch muscles kidogo na kukung'uta combat zao zinazokusanya vumbi tuu kwa kushinda kambini?

Kwa jinsi wanavyolielezea jeshi la huyu Bacar nadhani hii operation ni ya few hours unless kuwe na majeshi ya nchi nyingine yakimsaidia.
 
He he umenikumbusha kuna mzee mmoja aliletwa hapo Quantico baada ya Bomu la 1998 lakini 5 years later akastaafu(talking about priorities)...

Ebanae mambo ya "Natural Fire 2006"?

hiyo ya ku-retire 5yrs baada ya mafunzo imenivunja mbavu kinoma yaani! LOL....umesahau nini? kuwa hivyo ndivyo tulivyo.
 
Jamani naomba kujua hivi Nchi yetu ni ya ngapi kiuchumi mzuri ktk bara la Afrika?
Mwaka juzi nilisikia ilikua ya 3 au 2 kutoka chini?au nimechanganya rooms
 
mbalamwezi majeshi yetu yamekwenda kule kama miaka 3 iliopita ndugu yangu,,ukisem achini yamendate ya AU ,,,SIKUBALIANI maana ndugu(JK) yetu kapeleka juzi kama AU majeshi yake je majeshi ya AU yalianzanza kwenda toka lini uko????????bado tujieulize nini wanachokimbilia kule na kwanini wasimkimbilie ""COMRADE MUGABE""
waone cha moto na MAJESHI YAKE YAMESHASEMA HAKUNA MWINGINE ZAIDI MUGABE ,,,,kazi ipo?????

On a flipside, angalia kama machafuko yangeenda kwenye visiwa vingine, leo hii nadhani tungekuwa tunapokea wakimbizi Zanzibar. I really doubt hilo swala la kuintervene mapema kabla hakujachafuka policy makers wetu waliliweka kwenye consideration.
 
Tuko vitani au vijana wetu wa kikosi cha.......wameenda kustretch muscles kidogo na kukung'uta combat zao zinazokusanya vumbi tuu kwa kushinda kambini?

Kwa jinsi wanavyolielezea jeshi la huyu Bacar nadhani hii operation ni ya few hours unless kuwe na majeshi ya nchi nyingine yakimsaidia.

unaweza kuta wanajeshi wenyewe wanavaa kandambili, swali la kujiuliza hizo silaha kapata wapi? zikimwishia atapata wapi re-supply?
njia pekee Bacar anaweza kufanikiwa ni kufanya insurgency war kama ya iraq, ikiwa conventional hachukui duru....kwanza naona wamemstahi miezi yote hii!!.
 
Jamaa nasikia alikuwa mkuu wa polisi huko Anjuoan, Kisiwa kizima cha Anjuoan kina watu 200,000 na jeshi la comoro lina wanajeshi 300-500, unaweza kupiga hesabu ana wanajeshi wangapi walio loyal kwake.

081806-200.jpg

A medic from the U.S. military examines a patient at a clinic in Masugulu, Tanzania as part of Natural Fire 2006. (© AP/WWP)
 
Vyovyote vile uende kulinda amani au kungoa yule dictator madarakani vyote ivyo vina involve damu kumwagika.
 
I am not a supporter of CCM and its government BECAUSE OF CORRUPTION AND MISMANAGEMENT. But credibility should be accorded where it is due. I fully support this mission huko Comoro. Hivi wananchi wenzangu mnaposema African problems for African solutions, mna maana gani? who are the Africans? au ulitegemea wazungu waje kufa huko eti wanapigania waafrica? Hii mission ina baraka zote za AU, TZ na wenzake hawajavamia illigally. So I think Membe is very right in what is doing as our foreign policy chief!

Labda argument ingekuwa kwamba hatukupewa habari na bunge letu kushirikishwa (ingawa sijui katiba inasemaje kuhusu hili endapo majeshi yetu yanakwenda nje kupigana).

Harafu wengine humu tuwe serious..hii biashara ya kulinda amani au "peace keeping" ni invasion za UN! Hivi utalinda amani ambayo haipo? get serious! Ndo maana leo una wanajeshi maelfu huko Darfur, lakini watu wanakufa kama nzi..kisa eti wanalinda amani! Amani ipi? AMANI INABIDI KWANZA ITAFUTWE NDO ILINDWE!

Mi naamini Comoro ni jirani zetu, lakini tusipodeal na wale waasi sasa madhara yake yatakuwa makubwa kuliko, we cant afford another Congo, Darfur, Somalia et al in our conclave jamani!

Ukiangalia kwa misingi ya uchama this mission is costly for poor country like Tanzania, maana kiukweli na AU imechoka kwa hiyo gharama tunalipa wenyewe. But again, thats what it takes in international politics! respects comes with responsibilities. juzi watu walikuwa wanafurahi JK kuwa mwenyekiti wa AU, Rose kuwa UN...sasa mnataka zikija obligations internationally mkae nyuma!!! Ohh no!

I fully support you Mr. Membe. Ila muwe na plan baada ya kuwaondoa hao waasi! isije kuachwa vacuum yakawa yale yale ya Iraq na Somalia! Maana kuna MAFUTA HUKO!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom