Majeshi yetu Comoro: Who is responsible?

Majeshi yetu Comoro: Who is responsible?

Status
Not open for further replies.
mbalamwezi SAFETY FIRST....nani anayeweza kuhoji juhudi za serikali kuimarisha usalama wa askari wanaoenda mstari wa mbele..?


Mzee una hoja nzuri, wasiwasi ni kwamba hadi sasa hujawaona wanajeshi wetu wakiwa kweli mstari wa mbele maana hata vita yenyewe haijaanza!!!

Kwa hiyo kuwa na subira ndio utajua kweli kwamba tuna vifaa au hatuna...
 
"vifaa nilivyovitaji ni minimal basic safety precaution katika dunia ya leo...kimsingi ni utilities ambazo kwa kiasi kikubwa vinasaidia kupunguza vifo kwa askari..kwa kulinda vulnerable fatal hit areas kama kichwani na kifuani...angalau sehemu zilizobakia za mwili askari akipatwa na moto anaumia lakini anabaki na uhai..kuliko kufa!!!"
cool down PM,

Kofia walikuwa nazo hata vita ya 1978/79, nitashangaa kama sasa hawana. Hizo armoured vests wanazo hata vijana wa Tibaigana bongo, nategemea hata JWTZ watakuwa nazo huko front. Zinakutisha picha za kapelo kaka?
 
PM, I would love to believe kuwa jamaa body armor wote wamepewa...nadhani ile mentality ya kuwa tuko kwenye training na sio kwenye front line ndio imewafanya wasivae(wanasahau vitu kama friendly fire).

Mkuu wa hii Op ni Brigadier Daniel Igoti, nadhani atakuwa na majibu mengi, kuna mwandisho yoyote wa Tanzania aliofuatana na wanajeshi?
 
Ndugu zangu Tanzania bado ni nchi masikini duniani na tusilinganishe hata kidogo na majeshi ya Marekani au Uingereza... Kwa vile sisi ni nchi masikini na umaskini ndio alama yetu basi hata jeshi letu nalo linaakisi umaskini huo na kutarajia kuwa tunaweza kufanya yanayofanywa na majeshi ya mataifa tajiri ni kuyupa mvua jangwani.
 
PM, I would love to believe kuwa jamaa body armor wote wamepewa...nadhani ile mentality ya kuwa tuko kwenye training na sio kwenye front line ndio imewafanya wasivae(wanasahau vitu kama friendly fire).

Mkuu wa hii Op ni Brigadier Daniel Igoti, nadhani atakuwa na majibu mengi, kuna mwandisho yoyote wa Tanzania aliofuatana na wanajeshi?

Ndugu Icadon, (Mwambata wetu wa kijeshi humu JF),

Kuna waandishi 15 walikwenda kule last week. Kwa taarifa za juzi, walipelekwa kisiwa kilichoko jirani na Anjuani, jina limenitoka. Na wandishi wa TBC wamekuwa wakitangaza bongo tokea kule.
 
Mbalamwezi, ahsante kwa hicho cheo but no thanks, unazungumzia Fomboni, Moheli?

Membe said, This Operation will not go beyond March 30th... naanza countdown yangu sasa.
Op yenyewe ni kutoka majini kwenda nchi kavu, I hope jamaa hawajaweka booby traps kwenye fukwe zao. Good luck to our boys!!!

AU troops move towards rebel Comoros island

by Emmanuel GoujonMon Mar 24, 4:30 AM ET

Two ships with African Union troops mandated to help the federal government of the Comoros archipelago retake the rebel island of Anjouan left port overnight, port sources said on Monday.

Another three ships carrying mostly Tanzanian and Sudanese soldiers were preparing to steam Monday morning from Fomboni, capital of the island of Moheli.

A group of 1,500 African Union troops has been based there preparing for the operation to retake Anjouan. The commanding officers however refused to divulge their destination.

The federal government of the Indian Ocean archipelago of the Comoros did not recognise the re-election of Anjouan leader Colonel Mohamed Bacar in June 2007, and the operation to remove him is being supported by the African Union.

The African Union troops practised beach landings Sunday for the operation codenamed "Democracy in Comoros."

The African forces, who are due to back up some 400 local troops in the planned manoeuvre, had been stationed in the small island of Moheli -- the closest Comoran territory to Anjouan.

In an interview with AFP last Thursday, Bacar veered between a defiant and conciliatory tone.

"I am still determined to defend Anjouan despite my concern that people are ready to come here and fire on the Anjouanese. But I am continuing with my preparations to defend Anjouan," he said.

The Comoros army and police force has a total strength of 1,060, of whom 400 are currently stationed in Moheli -- an hour by sea from Anjouan.

Bacar only has some 300 troops at hand.

Comoran central authorities meanwhile appeared to be in no mood to give Bacar a second chance.

"Colonel Bacar will be arrested if he does not flee and will face Comoran courts for treason, usurpation of power, torture and war crimes, as documented by complaints which Anjouanese victims have filed," Comoran Vice President Idi Nadhoim said.

Several witnesses have told AFP of cases of torture on Anjouan under Bacar's rule.

"After the operation on Anjouan and the restoration of constitutional order, there will be a transitional government, which will have to swiftly organise elections to be held in May," Nadhoim added.

Tanzanian Foreign Minister Bernard Membe said the planned joint operation would comprise about 1,800 soldiers.

The fractious archipelago has survived 19 coups or coup attempts since it acquired independence from France in 1975.
 
Mbalamwezi, ahsante kwa hicho cheo but no thanks, unazungumzia Fomboni, Moheli?

Membe said, This Operation will not go beyond March 30th... naanza countdown yangu sasa.
Op yenyewe ni kutoka majini kwenda nchi kavu, I hope jamaa hawajaweka booby traps kwenye fukwe zao. Good luck to our boys!!!

Wanakadiria operesheni ya siku sita tu? Mh, hope intelijensi yao ilifanya kazi nzuri...otherwise kuna majuto yanaweza kuja.

Ona hii: "This little island, most known for being the world’s source of the perfume ingredient called ylang-ylang."
 
Habari toka Comoro zinasema wanajeshi wa Comoro wapatao 200 hadi 300 hivi wameonekana wakielekea Anjuani leo alfajiri, na inawezekana operesheni imeshaanza, hata hivyo taarifa hazitoki kabisa, isipokuwa kwa vyanzo vichache vya askari wanaopatikana ndiyo wanatoa taarifa kama hizi.

Huko Mayote, inasemekana tayari vituo vitano vimewekwa kwa ajili ya kupokea wakimbizi watakaokwenda huko. Inaonekana, kwa mujibu wa Mwandishi mmoja aliyehojiwa na BBC sasa hivi, ni kwamba majeshi ya Tanzania na Sudan yanahusika kulinda amani.

Hili jambo la ulinzi wa amani nadhani sikuwa nalifahamu. Nilidhani wanakwenda front!
 
nimesikia kwenye bbc si muda mrefu mjuaji wangwe akikosoa kupelekwa majeshi yetu huko kisa bunge halijajuilishwa na utaratibu umekiukwa.

wakati huo huo mkuu wake wa upinzani Hamad Rashid alieleza kuhusu kushirikishwa kamati ya ulinzi na kuhusu taratibu kutokiukwa.


sasa huyu wangwe kwa nn anapenda kuporoja kwa nn asiwafate wenziwe kama hamad rashid na Cheyo


hivi ndio ametumwa na chadema au ndio mkurupukaji?
 
yeye si ni mtanzania mwenye haki ya kutoa maoni yake?
au ni lazima akubaliane na maoni ya hamad rashid?
 
nimesikia kwenye bbc si muda mrefu mjuaji wangwe akikosoa kupelekwa majeshi yetu huko kisa bunge halijajuilishwa na utaratibu umekiukwa.

wakati huo huo mkuu wake wa upinzani Hamad Rashid alieleza kuhusu kushirikishwa kamati ya ulinzi na kuhusu taratibu kutokiukwa.


sasa huyu wangwe kwa nn anapenda kuporoja kwa nn asiwafate wenziwe kama hamad rashid na Cheyo


hivi ndio ametumwa na chadema au ndio mkurupukaji?



Lete ushahidi wa Hamad kusema unayo tueleza hapa .
 
nimesikia kwenye bbc si muda mrefu mjuaji wangwe akikosoa kupelekwa majeshi yetu huko kisa bunge halijajuilishwa na utaratibu umekiukwa.

wakati huo huo mkuu wake wa upinzani Hamad Rashid alieleza kuhusu kushirikishwa kamati ya ulinzi na kuhusu taratibu kutokiukwa.

Mtu wa Pwani, Hamad ametaja pia gharama za vita na anayegharamia, network mbaya sijamsikia sawa sawa, ulimpata vema utuwekee hapa?
 
Troops leave for Comoros assault

Five boats full of soldiers have left a port on the Comoros island of Moheli, a diplomat says, ahead of an operation to retake the island of Anjouan. A group of 1,500 African Union troops is supporting the Comoros federal government in its dispute with renegade Anjouan leader Mohamed Bacar. It refused to recognise the re-election of Mr Bacar in June 2007.

Anjouan is reportedly tense but calm. Luggage trolleys are on the airport's runway to prevent any aircraft landing.
The island of Moheli, is only about 50km from Anjouan.
Tanzanian and Sudanese forces are on board the boats, alongside Comoran soldiers.

Countdown

Civilian flights to Anjouan and Moheli have been suspended, by the federal government. The BBC's Jonny Hogg in Comoros says the federal president Ahmed Sambi is expected to publically authorise the use of military force in a televised address this evening.

_44442548_bacar_203afp.jpg


I am still determined to defend Anjouan

Anjouan leader Mohamed Bacar


AU troops took part in a beach-landing exercise on Sunday.
Each of the Comoros federation's three islands has its own president, but Mr Bacar's re-election was declared illegal by the central authorities. In an interview on Thursday, he said he would not step down. "I am still determined to defend Anjouan despite my concern that people are ready to come here and fire on the Anjouanese. But I am continuing with my preparations to defend Anjouan," he told AFP news agency.

He is estimated to have about 300 troops at his disposal.
There have been 19 coup attempts and several secessionist uprisings in the three-island archipelago since independence from France in 1975.

Onea Buji mbona hawaendi Sudan kule Darfuw wanakufa kama inzi?
 
Huyu Wangwe alishaniboa mimi, hivi kasoma Katiba? Rais ana madaraka yote ya kupeleka majeshi yetu mahali popote na hahitaji kibali cha Bunge! Siyo vizuri yes, ndivyo katiba ilivyo absolutely.. akitaka aanzishe kelele za kutaka mabadiliko ya Katiba. Vinginevyo, ni bora kukaa kimya kuliko kuzungumzia kitu ambacho mtu hujui.
 
Rais ana madaraka yote ya kupeleka majeshi yetu mahali popote na hahitaji kibali cha Bunge! Siyo vizuri yes, ndivyo katiba ilivyo absolutely.. akitaka aanzishe kelele za kutaka mabadiliko ya Katiba. Vinginevyo, ni bora kukaa kimya kuliko kuzungumzia kitu ambacho mtu hujui.

Kumkoma nyani giladi, haiwezi kuwa better than this bravo Mkuu MMJ, hoja hujibiwa kwa hoja!.
 
Huyu Wangwe alishaniboa mimi, hivi kasoma Katiba? Rais ana madaraka yote ya kupeleka majeshi yetu mahali popote na hahitaji kibali cha Bunge! Siyo vizuri yes, ndivyo katiba ilivyo absolutely.. akitaka aanzishe kelele za kutaka mabadiliko ya Katiba. Vinginevyo, ni bora kukaa kimya kuliko kuzungumzia kitu ambacho mtu hujui.

mkjj huyu jamaa si mchezo anapenda coverage, mie sikuona umuhimu wa kuvamia mambo usioyajua na hasa wenzio walishirikishwa na kuhoji na kuelezwa na kuelewa.

jengine kuna kasema wangwe ni mtanzania ana haki ya kutoa mawazo yake. si kweli kuwa wangwe ana haki ya kutoa mawazo yake kama yako kutokana na nafasi yake ktk jamii, chama chake na upinzani kwa ujumla.

maana akiboronga anajiaibisha na kuaibisha wafuasi wake.


hii inafaa ilalamikiwa sawa na yule mbunge alieenda kuwahubiria wanafunzi mambo ya kipuuzi kwa ustawi wa taifa
 

MBONA HAMULIZI NI KIASI GANI KINATUMIKA PER DAY HUKO COMORO? NA TUSIDANGANYANE ETI AU WANATOA FUNDS NI OUNGO MTUPU KAMA WAMESHINDWA KUKODISHA HELICOPTER KULE DARFUR WHAT MAKES YOU THINK WATAKUWA NA PESA ZA KUONGOZA OPERATION KAMA ILE KULE COMORO?

AFRICAN UNION KILA UNAPOFIKA WAKATI WA HIYO PAN AFRICAN PARLIAMENT HUWA HAWANA PESA SASA LEO PESA ZA VITA ZIMEPATIKANA?


Nimesikia BBC, Hamad (Kiongozi wa Upinzani Bungeni) anasema walipokutana na serikali (kamati ya ulinzi na usalama ya bunge) waliambiwa, among other things, operesheni imekadiriwa kugharimu sh bilioni 10 na tayari nchi kadhaa zilikuwa zimetoa michango...

haya mengine sina majibu mkuu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom