Majeshi yetu Comoro: Who is responsible?

Majeshi yetu Comoro: Who is responsible?

Status
Not open for further replies.
Baada ya kusikiliza taarifa mbalimbali na kusoma sources mbalimbali naona sasa ugumu wa hii vita. Dalili zinaonesha kuwa serikali ya shirikisho ya Comoro na rais wake Ahmed Abdallah Mohamed Sambi inaungwa mkono na Iran. Hii inanisaidia kuelewa kwa nini Libya, Sudan zimekuwa mstari wa mbele kuunga mkono uvamizi wa Anjouan, wakati South Africa (waungaji wa Marekani na Uingereza) anapinga. AU imeingizwa mtegoni hapa, na hii vita ni ngumu. Bila shaka huyu Col Mohamed Bakar anapata kiburi chake kutoka kwa wanaowapinga washirika wa Sambi (hasa Iran), sitashangaa Marekani ikawa upande wa Bakar (by proxy, hawatasema kwenye vyombo vya habari, lakini wanayo kwenye sera kutokana na maelewano yao mabaya na Iran). Tanzania ndio tuko pagumu zaidi, maana Bush tuko naye, na Ahmadinejad pia tuko nae. Kazi ipo!
 
Baada ya kusikiliza taarifa mbalimbali na kusoma sources mbalimbali naona sasa ugumu wa hii vita. Dalili zinaonesha kuwa serikali ya shirikisho ya Comoro na rais wake Ahmed Abdallah Mohamed Sambi inaungwa mkono na Iran. Hii inanisaidia kuelewa kwa nini Libya, Sudan zimekuwa mstari wa mbele kuunga mkono uvamizi wa Anjouan, wakati South Africa (waungaji wa Marekani na Uingereza) anapinga. AU imeingizwa mtegoni hapa, na hii vita ni ngumu. Bila shaka huyu Col Mohamed Bakar anapata kiburi chake kutoka kwa wanaowapinga washirika wa Sambi (hasa Iran), sitashangaa Marekani ikawa upande wa Bakar (by proxy, hawatasema kwenye vyombo vya habari, lakini wanayo kwenye sera kutokana na maelewano yao mabaya na Iran). Tanzania ndio tuko pagumu zaidi, maana Bush tuko naye, na Ahmadinejad pia tuko nae. Kazi ipo!

Katika pande hizo unazohofia kusapoti vita, unategemea hasa zitoe sapoti ya namna gani? Materials or troops? how? katika hali ya kawaida, pengine kungeanza troops build up? Kuna taarifa zinazoonyesha kuwepo kwa kajeshi zaidi ya Bacar na AU? Bacar ana no more than 400 troops.

Military hardware yake haifahamiki vema, lakini inaonekana kiasi kikubwa kiko kwa Sambi. If any of the countries would raise up to offer support, what are the likelihoods, marines...warships...fighterjets?
 
..majeshi yote ya sudan..na tanzania chini ya kamandi ya brig .daniel igoti wa tanzania yapo tayari ..kasoro ni majeshi ya SENAGAL hadi sasa hayajafika comoro bila sababu za msingi....
 
Huyu Wangwe alishaniboa mimi, hivi kasoma Katiba? Rais ana madaraka yote ya kupeleka majeshi yetu mahali popote na hahitaji kibali cha Bunge! Siyo vizuri yes, ndivyo katiba ilivyo absolutely.. akitaka aanzishe kelele za kutaka mabadiliko ya Katiba. Vinginevyo, ni bora kukaa kimya kuliko kuzungumzia kitu ambacho mtu hujui.


We are in trouble as a country when it comes to leadership. Kwa mtu mwenye mamlaka makubwa kwa kiwango chake ungetegemea aonyeshe umakini. But you know what, TZ tunaamini viongozi huzaliwa na sio lazima watengenezwe. I imagine mtu kama huyo angepata angalau semina ya leadership for few days baada ya kuchaguliwa naamini angeweza kuwa makini zaidi. Halafu jambo zito kama hili la jeshi utakubalije kuongea kabla hujajiridhisha kwamba unachoongea unakielewa. Ndo hapa nasema tumegeuza siasa zetu kuwa club za mabishano, unabishia tu jambo madamu uonekane wewe upo upande mwingine. Tuna shida kuliko tunavyojijua!
 
Hivi waliofanya operations research ya kupeleka wanajeshi huko walifahamu kwamba huyu Bacar ana wanajeshi dhoofu 300 tu? bila kusahau jumla ya wanajeshi na polisi hawazidi 2000 kwa kisiwa kizima?

Hivi haya majambo yanafanyika kwa unazi tu?

Nani alimshauri JK kupeleka lundo la wapiganaji?

Bila kusahau anayelipa bill.

Should we continue to trust this president?
 
We are in trouble as a country when it comes to leadership. Kwa mtu mwenye mamlaka makubwa kwa kiwango chake ungetegemea aonyeshe umakini. But you know what, TZ tunaamini viongozi huzaliwa na sio lazima watengenezwe. I imagine mtu kama huyo angepata angalau semina ya leadership for few days baada ya kuchaguliwa naamini angeweza kuwa makini zaidi. Halafu jambo zito kama hili la jeshi utakubalije kuongea kabla hujajiridhisha kwamba unachoongea unakielewa. Ndo hapa nasema tumegeuza siasa zetu kuwa club za mabishano, unabishia tu jambo madamu uonekane wewe upo upande mwingine. Tuna shida kuliko tunavyojijua!

very right! Nadhani labda wapinzani wanahitaji kupelekana Ngurdoto, tatizo nani atamwambia mwingine kuwa unahitaji elimu ya uongozi?
 
610x.jpg

Comoros president orders assault
The federal president of the Comoros islands, Ahmed Sambi, has authorised military force to retake the island of Anjouan from rebels.

Mr Sambi said in a TV address Anjouan would be "liberated" in "coming hours or days" if the rebels did not give in.

A group of 1,500 African Union troops is supporting the Comoros federal government in its dispute with renegade Anjouan leader Mohamed Bacar.

It refused to recognise the re-election of Mr Bacar in June 2007.

Mr Sambi said on Monday: "I gave the order to the national army to join with the African Union forces to re-establish the republican legality in Anjouan.

"In the hours, or the days to come, Anjouan will be liberated by force, or, I dare to hope, the rebels will surrender themselves in order to avoid confrontation."
 
..tayari mashambulizi anjuan chini ya tanzania,sudan na wanajeshi wa comoro ..yameanza usiku wa kuamkia leo..kwa mashambulizi ya mabomu na roketi...ili kuweza kudhoofisha nguvu za waasi na kuwapa nafasi askari wa majini na miguu kuingia pwani...muda wowote!!!
 
Early reports, Majeshi ya serikali yanadai yameshaichukua airport(Ouani) na makao makuu ya Anjoun.Mutsamudu na miji mingine miwili ya Domoni na Ouan, jamaa wamekata simu so hakuna uwezekano wa kuconfirm na Bacar.

r
 
Tanzanian troops part of an African Union military assault against the breakaway Comoros island of Anjouan entered the isle's capital Mutsamudu on Tuesday, witnesses said.

Residents greeted them with jubilation as they took to the streets of Mutsamudu, where they met no resistance from forces loyal to Anjouan's leader Mohamed Bacar.
Source
 
The Comoros government says it has captured the capital of the rebel-held island of Anjouan.

The announcement comes just hours after an African Union-backed military operation got under way Tuesday to oust a renegade colonel who took power in Anjouan last May.

Explosions and gunfire started ringing out before dawn. There was no immediate word on casualties.

Defense Chief of Staff Mohamed Dosara says the troops met a small amount of resistance. He says the troops are searching for the colonel, Mohamed Bacar.

source:www.mail.com
 
Mkuuu Icadon,

Wewe ninakuaminia na nyeti za hii operation, endelea kutuletea vitu vya uhakika mkuu!
Field Marshall,

hata mimi nimeridhika sana na upashaji habari wa Icadon na analysis zake za mambo ya kijeshi. Lakini amekataa mapendekezo ya kumpandisha cheo. Ananikumbusha wamamuziki wa Maroon Commandos waliokataa kupandishwa vyeo wakihofia upigaji muziki usingewezekana tena!
 
Mkuuu Icadon,

Wewe ninakuaminia na nyeti za hii operation, endelea kutuletea vitu vya uhakika mkuu!
Field Marshall,

hata mimi nimeridhika sana na upashaji habari wa Icadon na analysis zake za mambo ya kijeshi. Lakini amekataa mapendekezo yangu ya kumpandisha cheo. Ananikumbusha wamamuziki fulani wa Jeshi la Kenya, Maroon Commandos waliokataa kupandishwa vyeo wakihofia upigaji muziki usingewezekana tena!
 
Field Marshall,

hata mimi nimeridhika sana na upashaji habari wa Icadon na analysis zake za mambo ya kijeshi. Lakini amekataa mapendekezo yangu ya kumpandisha cheo. Ananikumbusha wamamuziki fulani wa Jeshi la Kenya, nadhani wa Them Mushrooms waliokataa kupandishwa vyeo wakihofia upigaji muziki usingewezekana tena!

Ha ha!! umenichekesha sana hapo kwenye bold

Hizi picha chini ndio za jamaa ambao wanamtii Bacar(kuna baadhi ya wachangiaji wanasema wamepewa silaha na South Africa au France)
610x.jpg

610x.jpg

610x.jpg

14 hours ago: Forces loyal to Anjouan's leader Mohamed Bacar rally as they wait the assault by African Union troops in Ouani late on March 24, 2008. African Union troops clashed with troops protecting the president of the breakaway island of Anjouan on March 24 near the presidential palace and airport, an AFP journalist reported. Heavy explosions and rifle fire could be heard in Ouani, about three kilometres (two miles) north of Anjouan capital Mutsamadu, as Comoran forces fired from a ship.
 
MORONI (Reuters) - The Indian Ocean archipelago nation of Comoros said it had seized control of the rebel island of Anjouan on Tuesday after a seaborne assault backed by the African Union (AU).

"Anjouan island is under total control of the army," Major Ahmed Sidi told reporters at a joint press conference with the AU on the neighbouring island of Moheli.

"So far we have no dead or wounded to lament. The rebel chiefs have all run away, and none has yet been found."
 
I am not a supporter of CCM and its government BECAUSE OF CORRUPTION AND MISMANAGEMENT. But credibility should be accorded where it is due. I fully support this mission huko Comoro. Hivi wananchi wenzangu mnaposema African problems for African solutions, mna maana gani? who are the Africans? au ulitegemea wazungu waje kufa huko eti wanapigania waafrica? Hii mission ina baraka zote za AU, TZ na wenzake hawajavamia illigally. So I think Membe is very right in what is doing as our foreign policy chief!

Nashangaa sana sijui unabase wapi argument yako. African Problems African solutions sounds nice, but are we really capable of doing it? Are we doing it just to be seen as champions of Democracy or we have any particular interest? How much will we get from the human cost which we have already stated to incur. Sioni busara yoyote unless watuambie kuwa wameenda kwa sababu ambazo hatuwezi kuzijua. Ngwilizi alitawala kisiwa kile for sometime what did we get out of that? Sifa, ujiko! what! Bring our troops home!
 
So Far Tayari Majeshi Ya Tanzania Yalioingia Anjouan Kwa Upande Wa Kaskazini Wameteka Bandari Pamoja Na Airport.mpaka Sasa Hakuna Majeruhi Wala Kifo Kwa Upande Wa Jeshi Letu La Tanzani.
 
mwanakijiji ni mtu wangu lakini na pale tunapo pishana then huwa tunaambiana. Sijui labda sie wengine watu wa Humanities we have a different view of things lakini I refuse hizi propaganda campaigns za kutuambia tu support wanajeshi wetu bila hao waliowapeleka jamaa kupigana kule kujibu maswali ya msingi.

Uzuri wa JAMBO FORUMS ni kuwa watu wana uhuru wa kusema lakini hii vita naona ishaanza kutugawa na MKJJ ambaye ni assume atakuwa ni graduate wa mambo ya Humanities angekuwa mstari wa mbele kugather information be it written expressions, reflection, observation, experience and reasonin kabla ya kuanza kudrup up support for this operation.


Sasa kama mtu kama mwana kijiji unapokuwa PRO-WAR na hii editorial yako, I wonder where else sie wengine ambo ni ma pessimistic tutakimbilia

I dont buy the propaganda that we dont support the war but we support our troops either.MKJJkwa hili mzee mwenzangu umeniacha hoi sasa isije ikawa baadae ukaanza kutumika kama mouth piece ya Membe kama Hannity wa Fox News.





Saa na wakati huu vikosi vya majeshi ya Jumuiya ya Afrika vimeanza mapambano ya kukikomboa kisiwa cha Anjouan ili hatimaye kurudi katika shirikisho la Comoro.

Vikosi hivyo vikiongozwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania wanashiriki katika Operesheni Demokrasia Komoro yenye lengo la kumuondoa Rais aliyejipachika Bw. Mohammed Bacar.

Hivyo saa na wakati kama huu ambapo vijana wetu wako katika hali ya hatari na ambapo wanayaweka maisha yao hatarini ni kitendo cha kutokuwajibika kwa baadhi ya wanasiasa kudai kuwa Rais amevunja Katiba wakati kipengele wanachokinukuu hakihusiki na mapigano haya.


Kitendo cha kutumia mapigano hayo kujipatia pointi za kisiasa nakipinga na kinaonesha ni jinsi gani baadhi ya wanasiasa hawajui Katiba lakini wakati wanajeshi wetu wako kwenye mapigano wao wanaongoza jitihada za kuwavunja moyo.

Kama raia wa Tanzania naomba nitumie nafasi hii kutuma salamu za ushindi kwa Jeshi la Wananchi, kwa Amiri Jeshi Mkuu na kwa makamanda na wapiganaji wote huko Comoro ili hatimaye wafanye kazi tuliyowatuma kwa haraka, ufanisi na kuhakikisha kuwa maisha ya raia yanalindwa kwa kiasi chote kinachowezekana.


Saa na wakati kama huu, hakuna Chadema, CUF, CCM au SAUT Tanzania ni moja na hatima yake ni moja, na ni jukumu la kila raia kusimama na kutakia ushindi vikosi vyetu na haya mambo ya kulalamika yaje baadaye siyo wakati risasi zinarushwa.

Kwa jeshi letu, USHINDI NI LAZIMA!

Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu Ibariki Afrika.


NB: Kwa matangazo yangu ya leo tembelea http://www.klhnews.com na usisahau kutumia search injini yetu pale.

Title: KLH News Episode: Operesheni Demokrasia Comoro - Wangwe angekaa kimya!

http://mwanakijiji.podOmatic.com/entry/eg/2008-03-24T22_32_09-07_00


TATIZO KAMA NILIVYOSEMA HAPO juu siyo MKJJ kuwa na freedom kutoa maoni yake bali tatizo ni kuwa MKJJ kaingia kwenye mtego kama wa media na blogs zinginezo Tanzania bila kuangalia bias they wamecreate, hatari zaidi hapa ni kuwa KLHNEWS which was once proud online media outlet, which valued honesty, integrity and objectivity, can now be viewed as a cheerleader to BERNARD MEMBE's government's dangerous and unethical conflict in ANJOUAN.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom