Nyanswe Nsame
Senior Member
- Jul 9, 2019
- 166
- 182
Mimi naishi Mwanza, namshangaa mtoa mada, labda anaongelea Capri point huko, asidhani sisi ni wajinga!Wewe unakaa ilemela hipi ? Nyasaka, nsumba,ppf,busweru,lumala, kiseke,nsumba, nyamngoro na n.k, leo wiki ya pili maji yanakuja saa sita usiku na ikifika saa kumi na mbili asubuhi yamekatika. Uwe mkweli
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Anampa taarifa Lissu maana anawapotosha Wana mwanza kuwa serikali haujafanya kitu.Nani kakuuliza 😎
inamaana hawajui kama hakuna maji hadi waambiwe na LissuAnampa taarifa Lissu maana anawapotosha Wana mwanza kuwa serikali haujafanya kitu.
Nilikua Igoma last week nimekuta hawana maji week ya tatu na Igoma iko Ilemela, sasa hiyo mitambo mipya inahudumu Ilemela ipi?