Maji kupungua kwenye rejeta, engine 1 NZ

Maji kupungua kwenye rejeta, engine 1 NZ

CONCLUSION:FUNDI ALIGUNDUA INAVUJA KWENYE INLET YA MAJI KWENYE ENGINE BLOCK,PAMELIWA NA KUTU YA MAJI,ASANTENI KWA MSAADA WENU WAKUU.
 
Bado kuepeka kutu na changamoto zake
Tumia coolant
Kuna faida nyingi kwa kutumia coolant badala ya maji
Hasa gari zinazokaa chini muda bila kutumika.
Coolant sio gharama sana
Kulingana na gharama za kufix shida za kutu kwenye njia ya rejeta na vitu kama hivyo
 
Weka collant kwa sababu boiling point yake iko juu ya boiling point ya maji ndio maana huwa coolant inachelewa kuisha kwenye rejeta. Na kama unatumia maji tumia haya maji ya kunywa ya chupa badala ya maji ya bomba, maji ya chupa yana chembe chembe chache za kutu kuliko maji ya bomba
 
Back
Top Bottom