Maji kutoka kwenye bomba la kutolea moshi

Elimu ya form 2 kabla hatujaanza chagua combi
 
Sisi wakati tunasoma nyie mnamuangalia mwalimu na rula muone wako wanne
 
Lakini mbona maji ya kwenye rejeta level iko sawa?,hayo maji ni tofauti na ya rejeta?
 
Magari ya kuanzia 2000's yana mfumo wa catalyst conveter ambao ni rafiki wa mazingira, yani kiufupi wanaotengeneza magari wamehama kutoka kwenye mfumo wa kutoa mimoshi hadi kwenye mfumo wa kutoa mvuke na maji ili kupunguza hewa ukaa.
 
unachoongea ni kinyume ndugu yako gari yako hasa isipotoa hayo maji ujue haliko sawa.
 
Magari ya kuanzia 2000's yana mfumo wa catalyst conveter ambao ni rafiki wa mazingira, yani kiufupi wanaotengeneza magari wamehama kutoka kwenye mfumo wa kutoa mimoshi hadi kwenye mfumo wa kutoa mvuke na maji ili kupunguza hewa ukaa.
Hili ndio jibu ndugu yangu.Hii kifaa kinafungwa kati ya engine na muffler.Unaweza dhani kuwa ni muffler nyingine iliyo mbele.Magari ya kisasa hasa kuanzia mwaka 2000 yana hiki kifaa.Kazi yake ni kuondoa gas za sumu kama carbon monoxide(CO),Nitrogen oxide(NO)X na hadrocarbons(HC)X ili zisichafue mazingira.Kwa nchi zilizoendelea hiki kifaa ni muhimu sana.
Faida ya hiki kifaa ni kwamba kinasaidia kufanya gari liwe na nguvu na pia kufanya gari litumie mafuta kidogo.Kikiondolewa gari linakosa nguvu na linatoa moshi mwingi wakati linatembea.
Angalia picha chini
 
Attachments

  • Catalyst convertor.PNG
    38.4 KB · Views: 10
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…