Sambinyakwe kitololo
JF-Expert Member
- Nov 15, 2022
- 2,419
- 2,940
Elimu ya form 2 kabla hatujaanza chagua combiHabari wadau. Kila siku asubuhi nikiwaasha gari kunatoka maji kwenye bomba la kutolea moshi. Wengine wanasema ni ubora wa engine, wengine wanasema engine ina matatizo. Ukweli ni upi? Iwe ubora au matatizo ya engine, nikiufikiria mfumo wa engine yenyewe, maji hayo yanapatikanaje huko? Naomba msaada.