Lakini ninayoyayaongea yana ukweli ndani yake. Sasa hizo rasimali zetu zilizo chini yetu leo hii mimi na wewe zinatusaidia nini? Si bora wazungu wanaiba na sisi tunakula kidogo! Tanzania yetu ya leo ni maskini kushinda hata siku tuliyopata uhuru..huyo mzungu unayemuona mwizi leo akitukatia kamba tunalala njaaa...mzungu asingetoa hela za ARV watu mngetembea na kilo 5 mjini..achana na mzungu wewe.
Utaahira wako unajidhihirisha kwa kutokutambua kuwa mzungu alitawala Tanzania kwa muda mrefu kuliko CCM.
Sasa nyie kama Danganyika mna-serve which masters at LDC level? The best way to attack your adversery is to adopt His game by joining Him and beating Him at your own game na hapo we have achieved fully hadi Theresa May akaja Kenya to mend things in anticipatation of a takeover... Sisi tuna-lead the war against it on behalf of Afrikans.Dumbest of the highest order
Sasa British East Africa unaihesabia kama today's independent Kenya?
Nyie mlienda kama mbwa wa muingereza to serve your master's interests.
APATE uhuru*Mzungu
Aende
Ulaya
Mwafrika
Apate
Amani
You are more than weak I swearBut we are not so weak to be beaten up by our own wives.
[“I know I’m not alone,” Kamau says. “Nderitu is doing a good job exposing women who mistreat their husbands.”
Joyce Njoki Mbugua, a married mother of three children, says she supports Njoka’s efforts, as she has witnessed several men’s rights violations.
“He is doing a wonderful job, and I hope he succeeds,” she says. “My sons may refuse to get married if they continue witnessing domestic violence against men.”]
Wewe Mkenya, bofya hapa ujue una mambo ya kujadili na uachane na Watanzania. Tanzania is for men.
https://globalpressjournal.com/afri...tivist-fights-changing-gender-roles-in-kenya/
Men’s Rights Activist Fights Changing Gender Roles in Kenya
https://globalpressjournal.com/afri...tivist-fights-changing-gender-roles-in-kenya/
Kakae chini na wenzio mjadiliane kuhusu ngono na kugandiana mnapofumaniana.
Like Kamau? Karibu Tanzania uje uone masculine powerhouse. Ukiolewa hapa tutakufundisha kuwa mke.You are more than weak I swear
Hiyo haikua rebellion bali ilikua war na utaita ni ujuha tu sababu akili huna
Kinjekitile alitengeneza jeshi lake imara na lenye silaha kama mapanga, mashoka, majembe, pinde, mishale, visu na silaha nyie nyingi na aliwapa mafunzo imara ya kupambana na mjeruumani
Ila kitu kimoja tu ni vipi hizo silaha zingefua dafu mbele ya cha moto cha mjerumani ndio Kinjekitile akaja na slogan kwamba mbele ya Uimara wa jeshi letu na kwa namna tulivyochoshwa na ukatili wa mjerumani basi hizo risasi zitageuka na kua maji kwa kutumia dawa kadhaa
Jeshi lilinolewa na silaha zikatengenezwa na dawa zikasambazwa imani ikawaingia wazawa na mjerumani wakamkabili
Kwa taarifa yako tu wajerani kwa mamia waliuwawa na jeshi la Kinjekitile japo watu wengi walipoteza maisha lakini kuna impact kubwa sana ya kimtazamo na kiujasiri iliibuka miongoni mwa watanzania na wajerumani walipata somo zuri sana.
Ni bora sisi wazee wetu walijinasua na kukataa kukaa kimya pamoja na udhaifu wao kuliko nyie wazee wenu walikua wakiingiziwa miti mpaka sehemu zao za nyuma huku wakimuabudu mzungu kisa tu hawamuwezi
Yaani nyie ni wakunyamaza kimya kabisa mbele ya watanzania kwenye suala la kukataa unyonyaji wa wazungu tulianza kitambo mpaka leo siasa yetu ni ya ujamaa na kujitegemea kitu cha mtanzania peke yake, hakuna siasa ya aina hii kwa mzungu
Julius Malema kila akiwapa wake up call these people bado wako usingizini. Kipindi fulani wakaja na hoja ya ndani ya EA kuweza kupata haki za kumiliki ardhi ndani ya EA tukawachekiiiii...Kenyans pamoja na huu utani wetu humu suala la ardhi ni ticking bomb soon or later litawalipukia.You people from the slums are very talkative.Mngekuwa na akili timamu msingeendekeza ukabila na kuwaachia mabepari ardhi yenu.Ninaaaa nyieeee.
Hiyo para ya mwisho isome mbele ya wakenya wenzako kisha tizama reaction yao usoni utajua jwtz ni nini hasa.Trust me they were Damn
Soma British Walivyonwanyorosha Zanzibar
Wali Declare war on Britain 38mins Later wote wakatimua ku Surrender and handover zanzibar to the british...
Hapa Kenya Mau Mau rebellion is Classified as British Empires Worst Encounters alongside
South Africas Boer wars of Independence
Indias war of independence na
Vichy wars na France
Smh!!
Sikuile Hyo JWTZ yao itakuja kuingilia wakenya ndio watatambua Wakenya ni Nani Haswa!!
Kwa maneno Wengine unasema Uhuru na ukoloni bora ukoloni. Hakiyanani nyinyi watu ni wakufunga jiwe na kutupwa baharini. Hivi hamuoni SA wanavyojitahidi kujitoa ktk makucha ya wazungu na miaka 24 baada ya uhuru wao? Na unajiita Mtanzania?Lakini ninayoyayaongea yana ukweli ndani yake. Sasa hizo rasimali zetu zilizo chini yetu leo hii mimi na wewe zinatusaidia nini? Si bora wazungu wanaiba na sisi tunakula kidogo! Tanzania yetu ya leo ni maskini kushinda hata siku tuliyopata uhuru..huyo mzungu unayemuona mwizi leo akitukatia kamba tunalala njaaa...mzungu asingetoa hela za ARV watu mngetembea na kilo 5 mjini..achana na mzungu wewe.
Hapa unafanya kauli ya hiyo jamaa isitiliwe mashaka. Pls pamoja umesoma kama unavyosema fikiri kabla ya kuandika humuNa tulipata maendeleo hasa..hivi hospitali ya muhimbili aliijenga nani vile?
Mimi ni mtanzania damu 100%. Na ninaipenda nchi yangu sanaaaa. Ila naumia kuona tunashindwa kupata maendeleo ya kweli kwa hiyo hatuna budi kuukubali ukweli na kujifunza kutoka kwa walio bora.Kwa maneno Wengine unasema Uhuru na ukoloni bora ukoloni. Hakiyanani nyinyi watu ni wakufunga jiwe na kutupwa baharini. Hivi hamuoni SA wanavyojitahidi kujitoa ktk makucha ya wazungu na miaka 24 baada ya uhuru wao? Na unajiita Mtanzania?
....Bora ukae kimnya brodah!, You prove them right.Mimi ni mtanzania damu 100%. Na ninaipenda nchi yangu sanaaaa. Ila naumia kuona tunashindwa kupata maendeleo ya kweli kwa hiyo hatuna budi kuukubali ukweli na kujifunza kutoka kwa walio bora.
Asante ndugu. Nakaa kimya sasa.....Bora ukae kimnya brodah!, You prove them right.
So bora tungetawaliwa? Is that what you are saying? Nah my countrey spare me this ideas please....uzalendo ni Imani na hapa niko nataifuta kwako bado sijaiona kama unahisi tungewaacha ili tujifunze maendeleo kwao I don't think I will find it in youMimi ni mtanzania damu 100%. Na ninaipenda nchi yangu sanaaaa. Ila naumia kuona tunashindwa kupata maendeleo ya kweli kwa hiyo hatuna budi kuukubali ukweli na kujifunza kutoka kwa walio bora.
Ni bora kuliko kukubali mateso ya mjerumaniUlikua ujinga sana mababu zenu kujianika mbele ya risasi kisa wameoshwa kwa maji, ndio maana wengi mlirithi huo ujinga hadi leo mna kla kitu lakini maskini mwanzo mwisho.
So bora tungetawaliwa? Is that what you are saying? Nah my countrey spare me this ideas please....uzalendo ni Imani na hapa niko nataifuta kwako bado sijaiona kama unahisi tungewaacha ili tujifunze maendeleo kwao I don't think I will find it in you