kilam
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 2,092
- 2,128
Lakini ninayoyayaongea yana ukweli ndani yake. Sasa hizo rasimali zetu zilizo chini yetu leo hii mimi na wewe zinatusaidia nini? Si bora wazungu wanaiba na sisi tunakula kidogo! Tanzania yetu ya leo ni maskini kushinda hata siku tuliyopata uhuru..huyo mzungu unayemuona mwizi leo akitukatia kamba tunalala njaaa...mzungu asingetoa hela za ARV watu mngetembea na kilo 5 mjini..achana na mzungu wewe.
Utaahira wako unajidhihirisha kwa kutokutambua kuwa mzungu alitawala Tanzania kwa muda mrefu kuliko CCM.