pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
APATE uhuru*
Mzungu
Aende
Ulaya
Mwafrika
Apate
Amani
Mababu zetu hawakuomba wapewe uhuru ambao walikuwa nao kabla ya mzungu kutua pwani ya Afrika mashariki na bibilia yake mkononi, walimpa mzungu dawa yake kupitia mtutu wa bunduki. Someni uzi huu hapa kuhusu mbinu walizotumia Mau Mau kwenye vita dhidi ya mkoloni. https://www.jamiiforums.com/threads...he-komerera-and-the-women-combatants.1405501/Tell us about MAUMAU
Watanzania hubisha kila kitu. Hata ukiwaambia wao ni black Africans they will still deny and say they are whitesMababu zetu hawakuomba wapewe uhuru ambao walikuwa nao kabla ya mzungu kutua pwani ya Afrika mashariki na bibilia yake mkononi, walimpa mzungu dawa yake kupitia mtutu wa bunduki. https://www.jamiiforums.com/threads/the-mau-mau-its-spy-unit-the-komerera-and-the-women-combatants/
Im a Tanzanian and all Tanzanian agree.I have been wondering why Tanzanians are so dumb...buts its not them to blame it's there ancestors,they inherited stupidity;If you studied history in High school you might have come across this Maji Maji rebellion in Tanganyika against the Germans in 1905-1907 they believed that water would protect them from live bullets [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ..at the end majority died(waliona thitimaaaa [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] ).
So we should not blame [emoji22] [emoji22] [emoji22]
Feelings mpeleke choo.
Ni bora kuliko kukubali mateso ya mjerumani
Kwahiyo wewe Ulitaka wasimkabili mjerumani mpaka wavumbue nuclear bomb π£?
Akili huna hata moja,
Aise.umetutukana sana yan.mbn nyie story zenu za kina MAU MAU mliwategemea San wanawake,na Kenya mmekua wavivu tangu babu zenuI have been wondering why Tanzanians are so dumb...buts its not them to blame it's there ancestors,they inherited stupidity;If you studied history in High school you might have come across this Maji Maji rebellion in Tanganyika against the Germans in 1905-1907 they believed that water would protect them from live bullets [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ..at the end majority died(waliona thitimaaaa [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] ).
So we should not blame [emoji22] [emoji22] [emoji22]
Feelings mpeleke choo.
Acha stori zako za vijiweni, kwenye ngazi za juu za uongozi wa Mau Mau kulikuwa na mwanamke mmoja tu, Field Marshal Muthoni Wa Kirima na wapiganaji wengine kadhaa wa kike kama shujaa Muthoni Likimani. Hao wanawake wengine baada ya mabwana zao kujiunga na wapigananaji wa Mau Mau, waliamua wenyewe kufanyia ujasusi Mau Mau na kukwepa mabomu na risasi za mkoloni wakiwapelekea vyakula kwenye maficho yao kule misitu ya Ml. Kenya na ya Milima ya Abardere Ranges. Yaani wanawake wa kikenya hawakuridhika kukaa kitako nyumbani kama kondoo wakingoja vita viishe. Big up kwao!Aise.umetutukana sana yan.mbn nyie story zenu za kina MAU MAU mliwategemea San wanawake,na Kenya mmekua wavivu tangu babu zenu
Mimi naona bora wangekaa na kujifunza kwa mzungu leo hii tungekuwa mbali sanaaa. Kumbe viongozi wetu uloho wa madaraka wameithishwa na mababu zetu.
Sasa hao wenye akili na madigrii yao wamerufikisha wapi? Nchi imejaa viongozi wezi na akili zao..Huna akili
Ni bora kuliko kukubali mateso ya mjerumani
Kwahiyo wewe Ulitaka wasimkabili mjerumani mpaka wavumbue nuclear bomb π£?
Akili huna hata moja,
Hapo Kenya wahindi na wazungu wanamiliki asilimia ngapi ya rasilimali zenu? Tena namuona mchina naye anampango wa kufanya kama alichokifanya Zambia, mchana kweupe kabisaaKwani pamoja na hao mababu zenu kuanika umbumbubu wao, mwisho wa siku mlitawaliwa na Mjerumani na Muingereza na Mwarabu ovyo kabisa, na leo Mwarabu kwanza ndio anamiliki asilimia kubwa ya kila kitu kwenu akifuatiwa na muhindi hatimaye Mtanganyika amebakia na mahandaki matupu na makopo
Hiyo ilikuwa ni saikolojia ya kuwapa ujasiri, na bado haikuwazuia kutumia siraha za jadi ambazo walikuwa wanazo.Walifaa watumie akili ya jinsi ya kumkabili sio kwenda kijinga jinga na kujianika mbele ya risasi, mlirithi hayo...
MauMau Kenya walimkabili Muingereza kwa mapanga na mtutu
Hiyo ilikuwa ni saikolojia ya kuwapa ujasiri, na bado haikuwazuia kutumia siraha za jadi ambazo walikuwa wanazo.
Hilo halihusiani na saikolojia ya vita, turudi hapo kwenye vita, maana hadi leo lazima uwajenge wanajeshi kisaikolojia wasiogope lolote ilihali kifo kiko mbele yao, nyuma, koshoto na kulia.Ndio yale yale mumeendekeza hadi leo eti ukimchinja albino shida zako zote zitaisha
Hilo halihusiani na saikolojia ya vita, turudi hapo kwenye vita, maana hadi leo lazima uwajenge wanajeshi kisaikolojia wasiogope lolote ilihali kifo kiko mbele yao, nyuma, koshoto na kulia.
Kuna tofauti gani na kuvaa bullet proof kwenye kiwiliwili tu ilihali sehemu nyingine ziko wazi?Motivational speech za kuwajenga kisaikolojia hilo tofauti na kuwavika ujinga eti maji yatazuia risasi.
Kuna tofauti gani na kuvaa bullet proof kwenye kiwiliwili tu ilihali sehemu nyingine ziko wazi?
Yote ni kumfanya mtu ajione yuko safe wakati kiuhalisia hayuko salama hata kidogo
Kurithi? Wewe na mfungua uzi rudini darasani mkasome genetics, halafu ukimaliza urudi utwambie kama vile vimadini vyenu vichache haviibwi vinafanya nini!Hehehe halafu upo radhi kukeshea hili na kulishikia bango, naskia Mwalimu Nyerere alitoa amri msiliwe kwenye madini hadi siku mtaelimika, ila nyie ndio wale wale mlirithi kutoka kwa maji maji rebellion.
Unabishana na taahira kakaHilo halihusiani na saikolojia ya vita, turudi hapo kwenye vita, maana hadi leo lazima uwajenge wanajeshi kisaikolojia wasiogope lolote ilihali kifo kiko mbele yao, nyuma, koshoto na kulia.
π π π mungiki leo umevuta ganja ya meru au ya ushagoKwani pamoja na hao mababu zenu kuanika umbumbubu wao, mwisho wa siku mlitawaliwa na Mjerumani na Muingereza na Mwarabu ovyo kabisa, na leo Mwarabu kwanza ndio anamiliki asilimia kubwa ya kila kitu kwenu akifuatiwa na muhindi hatimaye Mtanganyika amebakia na mahandaki matupu na makopo
whatever the means they used, I will stand firm with them on fighting against any barbaric westerners mimi sina akili kwenye kisigino kama wewe, nitoe huko kabisa mimi sio level yakoWalifaa watumie akili ya jinsi ya kumkabili sio kwenda kijinga jinga na kujianika mbele ya risasi, mlirithi hayo...
MauMau Kenya walimkabili Muingereza kwa mapanga na mtutu